Kuna tatizo la msingi Mahakama Kuu. Hawa Junior Judges wanaonenakana kuwa highly incompetent na tuhuma za Mh. Tundu Lissu zinazidi kuthibitika. Nashauri wote walioshindwa kesi zao Mahakama Kuu kukata rufaa; sina imani kabisa na Mahakama Kuu yetu bali majaji wachache wa Mahakama ya Rufaa. Haiwezekani mashauri mengi yaliyoshinda Mahakama Kuu kutenguliwa kirahisi namna hii. Mamlaka za Uteuzi wa Majaji zinapaswa kwa kweli kujirekebisha; mhimili wa utoaji haki sio wa kuchezea namna hii. Pongezi kwa Mh. Godbless Lema.
unawakubali eeeeeeeeKama utafuatilia post zangu kuhusu kesi ya Lema, nilisema wazi Chadema kupitia jopo lao la wanasheria wakijipanga vizuri watashinda rufaa.
Msiba mzito kwa Jk,Prezzoo,cobra n Co.
Wapi Arusha one?Njoo huku tusherehekee...
Vipi kwani wewe ni masalia au CCM au CHAUMMA?Mbona unatusakama Hivyo na CHADEMA yetu?Leo ni maagizo ya nani? maana alipovuliwa ubunge ilikuwa maagizo ya IKULU....bila ya kuwa mnafiki na mpika majungu huwezi kuwa mwana CHADEMA
Kamanda Lema rudi jimboni katimize ahadi zako kwa wapiga kura wako kujenga hospitali pamoja na machinga compelex.
Kamanda Lema rudi jimboni katimize ahadi zako kwa wapiga kura wako kujenga hospitali pamoja na machinga compelex.
Kamanda Lema rudi jimboni katimize ahadi zako kwa wapiga kura wako kujenga hospitali pamoja na machinga compelex.
Wewe huna akili.Taarifa kamili ni zipi.Muanzisha mada jitokeze basi utupe matokeo kamili na mahamuzi ya mahakama kwa ujumla.
Tulipokuwa tumelala aliingilia uhuru wa mahakama,tulipoamka kaogopa kuingilia uhuru wa mahakama!!Pro-Chadema bana JK ni rais bora, angalieni Chadema mmeshinda kesi mahakamani? JK Rais wa nchi hawezi kuingilia uhuru wa mahakama hata siku moja.