Lema: Arusha hakuna CCM

CCM ni sawa na nzi anayesubiri kinyesi au mzoga ndio ale. Otherwise wanakufa.
 
Umeandika mwnyewe kama Mbunge wa Arusha mjini ? AU ni mtu umempa account yako akuandikie ? Au ni Whisky na Sigga za Billz unazokunywa hapo sasa hivi zinakuchanganya .
 

tupe cv yako kamanda
 

Kwani CCM katika uchaguzi wa serikali za mitaa ilipata 0?? Au maana yake CDM ilishinda 100% kama Dewji alivyoshinda Singida mjini?

Naomba kujua maana kama hamna hata kitongoji au mtaa mmoja uliochukuliwa na CCM basi maneno yako yatakuwa yametimia!
 
We tulia waarusha wajitambue, maana umeweka maandamo ya kutosha na kusababisha fursa nyingi kukosekana katika mji wao. Subiri waitafakari hii kauli kwanza, kwamba Mangi Sina wa MBOKHOM yupoyupo sana.
 
Shy land mbona unapunguza maksi Kwenye ubongo wangu.

Lema,

Una maana watu wote AR ni Chadema au? What is unit of analysis on what ur saying? What's the ground of saying that? Any evidence to proof that?
 
Lema ukipita kwnye kura za Maoni ni bahati saana .
Timu yako uliyofanya nayo kazi 2010 na kuupata ubunge yote umeisaliti,uliwatumia kama Condom bila kujua watakuja kuwa msaada wako 2015.
Sasa mda wao umefika na huu ndio utakua wakati wao wa kurevedge .

Omba saaana chama kikupitishe.
 
Lema,

Una maana watu wote AR ni Chadema au? What is unit of analysis on what ur saying? What's the ground of saying that? Any evidence to proof that?

....Hii hata mtoto pre-creche anafahamu ccm haipo Arusha
 
wewe Lema kwakua wewe ulizoea ule mchezo Jela mlitaka kumtia uha.nithi pia bwana khalidi???? nani akupe ubunge tena hapa arusha chuzi + shoga wewe?
 

Lema G mdogo wangu nakuonea huruma this time coz.tukirevise maneno yako matamu na ahadi kedekede ulizotoa katika ifuatiliaji ni sifuri kabisa.
Tueleze apa apa kwenye hili jukwaa kitu "VISIBLE" ulichokifanya ili kutu-convince wana wa Arusha tukurudishe bungeni.
Aidha Lema G umekuwa mtoro bungeni hujatuwakilisha kama mojawapo ya majukumu yako ya kibunge yanavyotaka.
Umefika wakati tuchague mtu mwenye character ya kiuongozi na sio kuvuruga watu kama ulivyofanya ww.
Hakika Wajinga Ndio Waliwao.
Hongera Lema.
 

Hivi hawa Wana biashara gani?
 

Attachments

  • image.jpg
    79.4 KB · Views: 223
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…