Godbless J Lema
Arusha MP
- Sep 28, 2013
- 92
- 2,205
....
.....Na majengo ya ccm Arusha yarudishwe kwa wananchi yatumike kwa shughuli za umma !!!
Huyu kilaza ataka nini tena huku na utumbo huu?
Tafadhali naheshimu mawazo ya kila Mtu hata wajinga wakisema ujinga ninaweza kuvumilia . Lakini hili la kufikiri ccm iko Arusha ni jambo la hatari sana ni sawa na kufikiri kuwa twiga anaweza kuwa rais wa Tanzania kwa sababu picha yake inaonekana katika noti `. Arusha sitarajii kushindana na ccm ila ccm wanasubiri kushindwa tena kata zote na Jimbo . Lema
....
.....Na majengo ya ccm Arusha yarudishwe kwa wananchi yatumike kwa shughuli za umma !!!
Jamani naomba niseme hivi October 2015 sio mbali ila ukweli lazima usemwe.. CHADEMA wanao uwezo wa kushinda Arusha bila hata kampeni na huu ndio ukweli
Tafadhali naheshimu mawazo ya kila Mtu hata wajinga wakisema ujinga ninaweza kuvumilia . Lakini hili la kufikiri ccm iko Arusha ni jambo la hatari sana ni sawa na kufikiri kuwa twiga anaweza kuwa rais wa Tanzania kwa sababu picha yake inaonekana katika noti `. Arusha sitarajii kushindana na ccm ila ccm wanasubiri kushindwa tena kata zote na Jimbo . Lema
Hivi tukitoa swala la maandamano wana Arusha wana jivunia nini kutoka kwako?