Hongera sana Lema, hiyo ndiyo kazi saizi yako. Ubunge ulikuwa haukufai, kukupa ubunge wananchi wa Arusha waliku overdose.
Tunashuhudia upotevu wa MABILIONI ya pesa za wananchi kwa kumtengenezea LEMA ajira!
Hii ni hatari sana kwa taifa.
Kama katemwa ubunge apumzike mbona wengine hatuna job na tunasurvive?
ccm hawakuelewa wanamuongezea huyu jamaa umaarufu sasa hili pigo lake watajutia maisha yao yoteee. nchi nzima ishamjua lema wamemlainishia njia yake ya kuzambaza injili ya CdmTanzania..kazi ipo magamba leteni nyingine tuwazike.
piiiiipoooooooooooooooooziiiiiiiiii
Lema mwenyewe akiitamkaga hyo salamu utaipendaaaaaaaaaaaaaa
Gooooooooooooooo Broda ts tym we turn pages finish chapters and exchange the books
Sasa hivi utamskia msemaji wa jeshi la polisi au JWTZ anasema chopa za vyama vya siasa marufuku. Zinaziba rada yao kipindi hiki wanapomulika Al-shaabab!
Huwezi kujenga chama kwa Chopa ni matumizi mabaya ya pesa kuna mambo mengi ya msingi ya kufanya chama hakina ofisi mikoani hata makao makuu hali sio nzuri...mnawachangisha pesa wananchi halafu mnamkodishia Lema Chopa.
Tuwe wakweli hivi Lema ana Influence gani kwenye siasa za Tanzania?
Siasa za Lema ni sehemu za kaskazini maeneo ya Arusha, Kilimanjaro.
Pole sana kwa upeo wako mdogo wa kuona mambo yajayo RAJEO. kwa taarifa yako hili jembe linaandaliwa kuwa mgombea mwenza wa Dr. SLAA 2015 . Habari ndiyo hiyo CDM wako focused sana kumbuka operation sangara inavyowatesa hadi mnaigwa mawe kila mlikoenda kujisafisha. CCM endeleeni kulala wenzenu ndio kwaaaza kazi imeanza siku mkija kukumbuka shuka tayari kumekucha. Safari hii msishangae mkimwagiwa kinyesi mtakapoenda kujinadi maeneo ambayo mpigania haki za wanyonge atapokuwa amepita akiwajuza wananchi mabaya ya ccm pamoja na serikali yake. Kila la heri LEMA kaza buti.Hongera sana Lema, hiyo ndiyo kazi saizi yako. Ubunge ulikuwa haukufai, kukupa ubunge wananchi wa Arusha waliku overdose.
Hongera sana Lema, hiyo ndiyo kazi saizi yako. Ubunge ulikuwa haukufai, kukupa ubunge wananchi wa Arusha waliku overdose.
Huwezi kujenga chama kwa Chopa ni matumizi mabaya ya pesa kuna mambo mengi ya msingi ya kufanya chama hakina ofisi mikoani hata makao makuu hali sio nzuri...mnawachangisha pesa wananchi halafu mnamkodishia Lema Chopa.
Tuwe wakweli hivi Lema ana Influence gani kwenye siasa za Tanzania?
Siasa za Lema ni sehemu za kaskazini maeneo ya Arusha, Kilimanjaro.
Hicho nilichoandika ndicho sahihi....usitake niamini unachoamini wewe, tuone kama hiyo kazi ya kuzunguka nchi nzima itamuwezesha kulipa ile mikopo yake yote!!!Hawaku mu- overdose bali walimu-under utilize; Ni masahihisho kidogo tu mkuu naona kiingereza kidogo unachanganya misamiati ya kulia unapeleka kushoto na ya kushoto unapeleka nyuma.
Atakuwa mgombea mwenza wa pili kwa ukilaza katika historia ya Tanzania. Wakwanza alikuwa yule wa CDM wa 2010!!Pole sana kwa upeo wako mdogo wa kuona mambo yajayo RAJEO. kwa taarifa yako hili jembe linaandaliwa kuwa mgombea mwenza wa Dr. SLAA 2015 . Habari ndiyo hiyo CDM wako focused sana kumbuka operation sangara inavyowatesa hadi mnaigwa mawe kila mlikoenda kujisafisha. CCM endeleeni kulala wenzenu ndio kwaaaza kazi imeanza siku mkija kukumbuka shuka tayari kumekucha. Safari hii msishangae mkimwagiwa kinyesi mtakapoenda kujinadi maeneo ambayo mpigania haki za wanyonge atapokuwa amepita akiwajuza wananchi mabaya ya ccm pamoja na serikali yake. Kila la heri LEMA kaza buti.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimempatia aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, helikopta na vifaa vingine kuzunguka nchi nzima kuhamasisha wananchi kukiunga mkono chama hicho, wakati huu ambapo anasubiri maamuzi ya Mahakama ya Rufaa kuhusu kuenguliwa ubunge wake.
Hayo yalisemwa jana na Mwenyekiti wa Chama hicho, Freeman Mbowe, alipokuwa akihutubia umati wa watu uliofurika katika uwanja wa Barafu Dodoma jana.
Ninajua mna hamu ya kusikia kuhusiana na mbunge wenu Lema, (wananchi wanaitikia ndiyo), tumempatia kazi maalum kwa kumpa helikopta, muziki mkubwa na matarumbeta, alisema.
Anakwenda kuamsha ari ya mageuzi nchini, hakuna kulala hadi kieleweke. Wangejua ni balaa kwa hili walilolifanya wangemuacha bungeni, aliongeza Mbowe huku akishangiliwa na umati wa watu.
Gazeti la Nipashe.
Hicho nilichoandika ndicho sahihi....usitake niamini unachoamini wewe, tuone kama hiyo kazi ya kuzunguka nchi nzima itamuwezesha kulipa ile mikopo yake yote!!!
Rejao magamba usie kata tamaa kukitetea chama kinachojifia kwa ufisadi!
Like kubwa
Lusinde ubunge ndio dose yake? "kudadadeki"
C r a p limit
a. Lema ni mchagga na Mbowe ni mchaga lazima walinde ajira ya mwenzao
b. Kila la heri Lema kwa kupata perdiems na kusafisha macho kusafiri katika anga..
c. Je ni kikao rasmi cha chama kimeamua hayo? if that is the case, then chama kiko kwenye serious problem..
MAFILIFILI, umeliona hilo eeh,Kweli CDM maamuzi hufanywa na watu wa kaskazini kwa manufaa yao;
1.Walianza kwa Dr. Slaa 12 milioni Tshs. kwa mwezi baada ya kukosa urais
2. Sasa Lema amepewa ulaji wa kula ruzuku ya chama kisingizio akaeneza chama ukanda wa Pwani
HUU NI UFISADI!!!!
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimempatia aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, helikopta na vifaa vingine kuzunguka nchi nzima kuhamasisha wananchi kukiunga mkono chama hicho, wakati huu ambapo anasubiri maamuzi ya Mahakama ya Rufaa kuhusu kuenguliwa ubunge wake.
Hayo yalisemwa jana na Mwenyekiti wa Chama hicho, Freeman Mbowe, alipokuwa akihutubia umati wa watu uliofurika katika uwanja wa Barafu Dodoma jana.
Ninajua mna hamu ya kusikia kuhusiana na mbunge wenu Lema, (wananchi wanaitikia ndiyo), tumempatia kazi maalum kwa kumpa helikopta, muziki mkubwa na matarumbeta, alisema.
Anakwenda kuamsha ari ya mageuzi nchini, hakuna kulala hadi kieleweke. Wangejua ni balaa kwa hili walilolifanya wangemuacha bungeni, aliongeza Mbowe huku akishangiliwa na umati wa watu.
Yaani magamba watajuta, bora wangemuacha bungeni, hizo Ari atakazo ziamsha lazima ccm kingoke 2015.
Gazeti la Nipashe.