Lema apatwa na balaa jingine!


Umesahau haya
1:wezi wa EPA 2:Wauwa tembo 3:Wezi wa Richmond 4:wauza dawa za kulevya 5:wasiotaka serikali 3
 
LEMA ndio yuko katika enzi zake za mwisho za ubunge, 2015 ubunge atausikia tu! Labda akagombee MACHAME, huku Arusha tumechoswa na Fujo na maandamano yasiyo na tija. Tunataka maendeleo, tutaichagua CCM.

Mmeshindwa nini katika udiwani pale sombetini kuiondoa cdm mzee? Ongea mengine Arusha ccm hatuitaki hata kidogo.
 

Mkuu unatisha kwa nondo hizo naamini hawa wafia 7b hawatatia mguu hapa.
 
Lema ndio amesababisha CHADEMA kutupwa mbali Kalenga kwa kuwa wana Kalenga waliziona picha zake alizokuwa anapumuliwa kisogoni na majembe.

Kama ni picha tuu zinabadili mawazo basi 2010 kuna mtu asingechaguliwa kutokana na picha za mtandao fulani uliofungiwa. Au mwaka huo ulikuwa hujajua matumizi ya computer? Maana hii kasi unayokuja nayo unaonyesha wewe ni limbukeni wa kiwango cha juu.


Sent from my iPad using JamiiForums
 
kumbe wanapigika bado..mweee...mpe pole ase
 

Mkuu, hapo kwenye nyekundu umesahau neno ili isomeke "... lakini amepatwa na kichapo cha haja KUBWA ...."
 
Hafai huyo hata akitupwa nje maana kama wananchi walimchagua halafu hashiriki sasa anataka nini?
 
Harudi tena bungeni. BAI BAI LEMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…