Mkuu, umekunywa gongo au umevuta kitu ya kumezwa tumboni?Waendesha pikipiki wa jiji la Arusha wameandamana leo ofisi ya Dc Arusha kupinga unyanyasaji wanaofanyiwa na trafic. Dc alishindwa kuwatuliza na jazba zao kuongezeka hadi pale mh Lema alipoingilia na kuwatuliza kwa kuahidi kushughulikia tatizo lao.Kwa sasa hali imetulia
Waendesha pikipiki wa jiji la Arusha wameandamana leo ofisi ya Dc Arusha kupinga unyanyasaji wanaofanyiwa na trafic. Dc alishindwa kuwatuliza na jazba zao kuongezeka hadi pale mh Lema alipoingilia na kuwatuliza kwa kuahidi kushughulikia tatizo lao.Kwa sasa hali imetulia
Kwa hiyo Lema ndo polisi?

Halafu mkuu, asubuhi uliwekwa uzi humu ambao ulionesha kuwa wote Lema na DC walikuwa watuhumiwa mbele ya bodaboda hao. Sasa nashangaa mtuhumiwa mmoja anajifanya ni muokoajiAcha siasa wewe,kamuokoa alikua ametekwa?
Ungemalizia kabisa ni kichwa cha panziLema ni kichwa
Kivipi mkuu?Huo ndo ukweli!!Lema almnusuru mkuu wa wilaya
Kwa vile ni jambazi?Zaidi ya Polisi
Tehetehetehe, eti Rais wa Arusha! Labda rais wa Mini Kabaaaaang!Lema Rais wa Arusha anakubalika na wana wa Atown sana Lema ni Jabari.
Zaidi ya Polisi
Kwa hiyo Lema ndo polisi?
LEMA ndio nani hata amuokoe mkuu wa wilaya?