Lema amuita mkuu wa mkoa mjinga

Boko haram

JF-Expert Member
Nov 7, 2011
3,253
1,229
Jana nilikuwa nasikiliza kituo kimoja cha radio hapa Arusha nikamsikia lema anasema mkuu wa mkoa ni mjinga asifikiri Arusha ni Bagamoyo vipi wana jf imekaaje hii?
 
Kasome tafsiri ya "Mjinga" kwenye kamusi,
Hicho utakachokipata jiulize kama Magesa kutokana na matamshi na matendo yake kwa hivi karibuni anafanania nacho au lah!!!
 
huja eleza vizuri alisema mjinga kwa lipi ?

Ujinga huwa unafutika baada ya kuelimishwa
 
Nadhani angemwita mpumbavu ingeleta maana zaidi maana mjinga hajui na ukimwelewesha atakuelewa lakini sio mpumbafu kama hili andazi linaloitwa mkuu wa mkoa.
 
Huyu ni mzigo hapa A town,ila atajajutia kuletwa hapa na mtu mmoja. Na kwanini RC asiwe anachaguliwa na raia wa mkoa anakofikia? Huyu angepata kura moja ya mkewe tu. Mjinga wa mwisho huyu na hana tofauti na huyu mwingine anayeitwa Kandoro lakini wataipata yao fresh. WAJINGA wakubwa!
 
Jana nilikuwa nasikiliza kituo kimoja cha radio hapa Arusha nikamsikia lema anasema mkuu wa mkoa ni mjinga asifikiri Arusha ni Bagamoyo vipi wana jf imekaaje hii?

Amekosea, mjinga ni mtu asiye na ufahamu juu ya jambo, na akifahamishwa hufahamu. huyo mkuu wa mkoa ni mpumbavu...
 
Anadhani bado yuko kwa wakwere....... Kukikucha atatoka usingizini.
 
Back
Top Bottom