Kaka najua hawakubaliani na wewe wote wale ni sehemu ya matatizo ya nchi hii nami nakuunga mkono nimekuwa nikisema sana hapa jukwaani,unachosema mimi tayari nimeshaindaa familia yangu juu ya hli,maana naaminilitatokea na kama CCM wataendelea kudhani wana mbinu,wana akili sana,wana jeshi kubwa wana magereza mengi,wana silaha za kila aina na mpaka jeshi,amini amini nawaambieni hayo yote hayatafua dafu,labda kama wataamua nchi kuifanya jangwa sawa,lakini ukumbuke hawa ni binadamu hata wao wenye silaha watakinzana tu.mimi najua hilo jambo lipo tu linakuja,mimi binafsi nalisubiri kwa hamu bila kujali matokeo yake kwani hakuna mwenye kulipinga hili kama sio CCM kukubali kuacha udhalimu wao ndani ya hii nchi.na kinachowafanya waogope mabadiliko ni hofu yao ya kushitakiwa kwa makosa waliotutendea watanzania
Sijakuelewa. Unampamba Lema wakati tayari anaumia huko. Kama kweli unachungu kiasi hicho ungemuunga mkono na wewe uende gerezani. Usitudanganye kaka , nchi yetu ni amani. Nenda nchi za jirani ukae wiki moja urudi utasimulia uliyoyaona namna ambavyo haki za binadamu zinakiukwa . Tusiongee hapa kishabiki mambo yakishaharibika mnaondoka kwenda nchini mwenu tunajua ww si raia wa nchii sasa unataka mambo yaharibike ukimbilie kwenu huku watoto, wazee na akina mama wa Tanzania wakibaki wanateseka.Kaka najua hawakubaliani na wewe wote wale ni sehemu ya matatizo ya nchi hii nami nakuunga mkono nimekuwa nikisema sana hapa jukwaani,unachosema mimi tayari nimeshaindaa familia yangu juu ya hli,maana naaminilitatokea na kama CCM wataendelea kudhani wana mbinu,wana akili sana,wana jeshi kubwa wana magereza mengi,wana silaha za kila aina na mpaka jeshi,amini amini nawaambieni hayo yote hayatafua dafu,labda kama wataamua nchi kuifanya jangwa sawa,lakini ukumbuke hawa ni binadamu hata wao wenye silaha watakinzana tu.mimi najua hilo jambo lipo tu linakuja,mimi binafsi nalisubiri kwa hamu bila kujali matokeo yake kwani hakuna mwenye kulipinga hili kama sio CCM kukubali kuacha udhalimu wao ndani ya hii nchi.na kinachowafanya waogope mabadiliko ni hofu yao ya kushitakiwa kwa makosa waliotutendea watanzania
Sijakuelewa. Unampamba Lema wakati tayari anaumia huko. Kama kweli unachungu kiasi hicho ungemuunga mkono na wewe uende gerezani. Usitudanganye kaka , nchi yetu ni amani. Nenda nchi za jirani ukae wiki moja urudi utasimulia uliyoyaona namna ambavyo haki za binadamu zinakiukwa . Tusiongee hapa kishabiki mambo yakishaharibika mnaondoka kwenda nchini mwenu tunajua ww si raia wa nchii sasa unataka mambo yaharibike ukimbilie kwenu huku watoto, wazee na akina mama wa Tanzania wakibaki wanateseka.

Wewe huna familia bwana kula kulala wewe. Halafu wewe unachekesha sana yaani vita kisa eti Lema kajipeleka gerezani, hata kama wangeenda wote wakiwemo Mboye na SLaa hakuna kitu kama hicho. watanzania si wa kupelekwa kihivyo

Wang'ayo said:Wewe huna familia bwana kula kulala wewe. Halafu wewe unachekesha sana yaani vita kisa eti Lema kajipeleka gerezani, hata kama wangeenda wote wakiwemo Mboye na SLaa hakuna kitu kama hicho. watanzania si wa kupelekwa kihivyo
Wang'ayo, elewa unachokiandika humu JUKWAANI. Watu wamechoka na upumbavu na uonevu wa CCM, Kumbuka historia ya Tanganyika na hata Zanzibar yaliyotokea ndiyo yaliyotegemewa. Tanganyika Mwl. JK Nyerere aliacha ualimu na kuangukia kwenye siasa na kauli mbiu yake alikuwa UHURU NA KAZI, akapata misukosuko hadi kufikia kuwekwa kizuizini. Ndipo alipotumia lugha ya kuwadanganya wakoloni kuwa msipo tuachia nchi yetu (TANGANYIKA) tutawashitaki kwa Mungu. Kwa upande wa Zanzibar waarabu waligoma ndo maana mapinduzi yakatoke.
Nimekupitisha kwenye kile kinachoitwa nchi yako, sasa kumbuka aliyeanzisha mapinduzi ya Tunisia alikuwa ni nani! pia nenda misri na kwingineko. Sasa mpambano ni Tanganyika yetu kubaki huru kutoka kwenye mikono ya mafisadi wanaojivua GAMBA, na kama na wewe umetumwa kutudanganya wa-JF umekwama....................... ​