Lema aendelea kuitesa CCM Arusha....

Arusha tunatabia ya kuishinda ccm bila woga.
Lema ametuambia hao kina Jumanne Mjusi tuwavungie kwanza.
Hatuna haja ya kuwafata kwenye mikutano yao, tuna mahali maalum.
 
CCm hata mmlte Kikwete kugombea udiwani Arusha hawezi kushinda
 

mabavicha mnapenda porojo sana.
 
Kitila, you have put things in the manifesto which made me walk out of CCM (Kitila, umeweka mambo katika ilani ambayo yalinifanya mimi nitoke CCM). Nikamuulize yapi hayo mzee, akanieleza sera kama vile za elimu bure, serikali kusimamia kilimo, na akanionyesha sura kama mbili hivi katika ilani ambazo kwa maoni yake, na kweli ndivyo ilivyokuwa, zilikuwa haziendani na msimamo wa CHADEMA kiitikadi na kifalsafa. Nikacheka sana,
 
Lema amekimbia baada ya vijana kumfuata shule ya msingi sombetini akiwa na mawazo
 

Mwendawazi wa nn huyo kichaa
 
....unajua hata misukule iliyokuwa inasombwa na malori kuhudhuria mikutano wameanza kupata fahamu,naona ukombozi umekaribia...
 
Ina maana Mungi uli hudhuria mkutano wa ccm na uka shuhudia hayo?

Siyo kuhudhuria tu, hata mazingira ya mkutano unapofanyika unaweza ukawa upo jirani ukawasikia magamba yanavyobwabwaja pumba unaweza ukatapika.
Ilikuta siku moja maeneo ya sanawari, ukiwasikia wanavyoongea ujinga unaweza ukatamani ardhi ipasuke ujichimbie
 
Last edited by a moderator:
LEMA anawadanganya wana-sombetini kuwa yeye ndio amejenga/anajenga barabara kwa kiwango cha lami.
 

Hivi Mungi riziki ya kila siku unaitafutaga saa ngapi ilhali kutwa/kucha uko kwenye mikumbo ya kampeni? Mimi niko Arusha lakini sijawahi kupata muda wa kuhudhuria mkutano hata mmoja wa kampeni sombetini. Lakini ndugu yangu wewe hata mikutano ya CCM umo?
 
Last edited by a moderator:

Uko Ar ipi wewe
 
Last edited by a moderator:

Mkuu kuhusu riziki usipate shida, maana kipindi hiki cha kampeni ccm wanamwaga hela wabongo tunakula za wajinga....... Ndiyo kuishi mjini kula kwa ccm kura chadema

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Muulize Mungi atakuleta ofisini kwangu.

Ofisi ipi nimlete? Maana ya Baracuda washaivunja umebakiwa na Shiverz

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…