Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,109 Reaction score 69,561 Oct 15, 2016 #401 Saa Hizi Hawana Say Msimu Huu Hali Tete Kama Mtoto Unaambiwa Ulipowesha Godoro Utalala Hapo Hapo Hadi Likauke Hakuna Kuhama Upande Mkavu!!
Saa Hizi Hawana Say Msimu Huu Hali Tete Kama Mtoto Unaambiwa Ulipowesha Godoro Utalala Hapo Hapo Hadi Likauke Hakuna Kuhama Upande Mkavu!!
G Guasa Ambonii JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 8,545 Reaction score 10,296 Oct 15, 2016 #402 Watu wengi walitabiri msimu utakuwa mgumu kwao na wasipotulia hali itazidi kuwa tete
kbmk JF-Expert Member Joined Feb 22, 2013 Posts 776 Reaction score 158 Oct 15, 2016 #403 LC anagombewa kama mpira wa kona. Mwaka mnashuka mlima mbona
Come27 JF-Expert Member Joined Dec 1, 2012 Posts 7,742 Reaction score 7,431 Oct 15, 2016 #404 Hii wanaweza wakivunja lekodi kwa kutolewa katika League ya England uku wakicheza katika Uefa
kkenzki JF-Expert Member Joined Oct 27, 2012 Posts 1,503 Reaction score 2,514 Dec 10, 2016 #405 Naona mnafanya maangamizi dhidi ya manshity leo pigeni 7 hao
mnyikungu JF-Expert Member Joined Jul 26, 2009 Posts 1,963 Reaction score 2,479 Dec 10, 2016 #406 Tunauwa mtu leo
everlenk JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 11,628 Reaction score 15,032 Dec 10, 2016 #407 Hongereni sana
mnyikungu JF-Expert Member Joined Jul 26, 2009 Posts 1,963 Reaction score 2,479 Dec 10, 2016 #408 everlenk said: Hongereni sana Click to expand... Tunatafuta washangiliaji wa mkopo, karibu sana japo kwa leo tu
everlenk said: Hongereni sana Click to expand... Tunatafuta washangiliaji wa mkopo, karibu sana japo kwa leo tu
G Guasa Ambonii JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 8,545 Reaction score 10,296 Dec 10, 2016 #409 Mpira wanaopiga hawa jamaa leo unanikumbusha msimu ulopita hawakai nao sana ila wakiupata waya !
SaaMbovu JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 6,028 Reaction score 5,355 Dec 10, 2016 #410 Guasa Amboni said: Mpira wanaopiga hawa jamaa leo unanikumbusha msimu ulopita hawakai nao sana ila wakiupata waya ! Click to expand... Guardiola naona sasa atakuwa ameanza kuielewa EPL
Guasa Amboni said: Mpira wanaopiga hawa jamaa leo unanikumbusha msimu ulopita hawakai nao sana ila wakiupata waya ! Click to expand... Guardiola naona sasa atakuwa ameanza kuielewa EPL
Eddy Love JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 13,655 Reaction score 8,584 Dec 10, 2016 #411 huu uzi umefufuka
retweeted JF-Expert Member Joined Aug 1, 2016 Posts 1,339 Reaction score 920 Dec 10, 2016 #412 Zile tatu za chapu so mchezo
G Guasa Ambonii JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 8,545 Reaction score 10,296 Dec 10, 2016 #413 SaaMbovu said: Guardiola naona sasa atakuwa ameanza kuielewa EPL Click to expand... Kuna waqt kabla ya half-time alikuwa anachezesha kiganja cha mkono kama anapiga kinanda hivi mara akune uwaraza basi moja haikai mbili haikai.
SaaMbovu said: Guardiola naona sasa atakuwa ameanza kuielewa EPL Click to expand... Kuna waqt kabla ya half-time alikuwa anachezesha kiganja cha mkono kama anapiga kinanda hivi mara akune uwaraza basi moja haikai mbili haikai.
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,109 Reaction score 69,561 Dec 10, 2016 #414 Leta Coke Baridi
SaaMbovu JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 6,028 Reaction score 5,355 Dec 10, 2016 #415 Guasa Amboni said: Kuna waqt kabla ya half-time alikuwa anachezesha kiganja cha mkono kama anapiga kinanda hivi mara akune uwaraza basi moja haikai mbili haikai. Click to expand... Aliwatetemesha sana wenzake akiwa na Messi. Kwenda Germany akakuta League ya timu 1 tu. Timu inayochukua wachezaji wote wazuri wa Bundesliga. Sasa amekuja kwenye League ambayo mshindi hajulikani mpaka mwishoni.
Guasa Amboni said: Kuna waqt kabla ya half-time alikuwa anachezesha kiganja cha mkono kama anapiga kinanda hivi mara akune uwaraza basi moja haikai mbili haikai. Click to expand... Aliwatetemesha sana wenzake akiwa na Messi. Kwenda Germany akakuta League ya timu 1 tu. Timu inayochukua wachezaji wote wazuri wa Bundesliga. Sasa amekuja kwenye League ambayo mshindi hajulikani mpaka mwishoni.
Th los proffcnal JF-Expert Member Joined Feb 8, 2015 Posts 583 Reaction score 348 Dec 10, 2016 #416 Apigwe tu,maana hakuna namna.
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 45,751 Reaction score 55,788 Dec 10, 2016 #417 Half time tu.kachezea over 2.5.
SaaMbovu JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 6,028 Reaction score 5,355 Dec 10, 2016 #418 Th los proffcnal said: Apigwe tu,maana hakuna namna. Click to expand... Kesha kula 4 kwa 1 mpaka sasa
Th los proffcnal said: Apigwe tu,maana hakuna namna. Click to expand... Kesha kula 4 kwa 1 mpaka sasa
M Magazine Fire JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 1,364 Reaction score 1,475 Dec 10, 2016 #419 Th los proffcnal said: Apigwe tu,maana hakuna namna. Click to expand... Leo Vardy anafanya yake.
kbmk JF-Expert Member Joined Feb 22, 2013 Posts 776 Reaction score 158 Dec 10, 2016 #420 Mmmmmh siku ya kufa nyani miti yote huteleza