Hapa tutakuwa tunazungumza kuhusu timu tishio kwa sasa hivi Uingereza inayocheza ligi kuu ya England
Sio nyingine ni Leicester City
Una chochote kuhusu timu hii Tafadhali tupia hapa
Na ninaomba
Moderator @jf robot
Paw BAK watusaidie thread hii iwe sticky au special thread
Nawasilisha