Legacy ya Samia Suluhu Hassan ni ipi?


Tozo na mikopo
 
Kum
Kumtuhumu Mbowe ugaidi mbele ya tv na mwishowe kumuita ikulu kwa maongezi.
 
Kila binadamu ana mazuri na mabaya yake...
 
Mkuu Mama anaupiga mwingi halaf wewe ndo Mama alisema watu Kama nyie mnaomkosoa kuhus Safari zake mnauelewa wa kawaida yaani akiwa Kama kiongozi mkubwa alishindwa kusema ni wajinga atakuwa ametukana raia Wake hivyo akasema hyo kauri kiuhalisia alimaanisha kuwa ni wajinga
 
Unafahamu mbio za kupokezana vijiti? Kama unafahamu yeye amepokea kijiti kutoka kwa chizi. Ugumu anaokutana nao na kuutatua ndiyo mafanikio yake.
Fact kama huna tuliza mshono
 
Acheni kumchulia mama ndiokwanza hata miaka miwili bado!!
 
Hii vita ya Urusi na ile hali ilivyokuwa mbaya chini ya Jiwe, Tungepotea kabisa.

Vitu vipo juu na watu wananua power ya demand and supply hiyo uchumi upo safi.
Jiwe kipindi cha corona dunia nzima iliufyata kidume bado alitamba. .itakuwa io vita yenu ya watu wa wili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…