tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,895
- 19,771
.mipasho na kuongea kma chirikuTangu aliporithi madaraka ya urais, ni kipi haswa alichokifanya mpaka sasa?
Kitu cha kushikika na kuonekana ambacho ukikitizama unasema naam hapa jambo limetendeka?
Kuna wapambe wasio na vichwa watasema Samia amedhibiti mfumuko wa bei.
Maana tangu alipoingia ikulu, kikubwa alichokifanya ni kuhamasisha machanjo.
Baada ya hapo akawa anatimka anakimbilia Ulaya mara Omani.
Jumatatu yuko Dar es salaam, Jumanne unashtukia kashatoroka katimkia Marekani. Utamsikia tu kwenye magazeti ya udaku.
Bei za bidhaa hazishikiki, kila kitu ukigusa ni moto.
Juzi hapa katoroka kaenda kuigiza filamu ya wanyama. Wala hashughuliki na mfumuko wa bidhaa wala kujigusa hata kutoa ufafanuzi watu waelewe.
Unashtukia tu ghafla katimka yuko sijui nchi gani. Anachokifanya hata hakijulikani.
Wale wapambe na ving'asti wa kuabudu wafalme, watuambie samia katenda jambo lipi la kushikika na kuonekana mpaka muda huu.
Mimi sijaona.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].mipasho na kuongea kma chiriku
Mpumbavu daima huwazia tumbo lake.Lini?
Hiyo Katiba ni chakula?
Ulitaka niwazie tumbo la baba ako?Mpumbavu daima huwazia tumbo lake.
Hivi Kwa mwaka mmoja na miezi 4, Ameshakopa Trilioni ngapi?Kwakweli maana mpaka sasa legas yake ni mikopo tu
Bei ya Petrol Zanzibar ni sh ngapi na Bei za Bara ni kiasi Gani?Ngoja Niongeze nyama Ili nikukere zaidi...
6.Ameweka anuani za makazi Nchi nzima,siku ukizeeka utasema ni Samia alifanya,ukipata kesi utajizamani.kwa sababu unatambulika.
7.Ameanza utaratibu wa kuwalipa jasho lao wafungwa Pindi wakimaliza vifungo vyao..Jela ni chuo sio Kambi za mateso kama yule mtu wenu alivyokuwa anafanya..Jasho lao lazima wafaidike nalo.
8.Atakuwa Rais wa kwanza kufikosha watalii mil.5 come 2025,Na Royal tour itaacha alama miaka na mikaka..
Kama hujarudhika uniambie niendelee kukukera..
Kaulize unamuuliza nani?Bei ya Petrol Zanzibar ni sh ngapi na Bei za Bara ni kiasi Gani?
Kwann Nchi yenye watu Zaid ya mil50 ikope halafu igawane sawa mkopo na Nchi yenye watu ml2?
Kwann Bei za mbolea zimepanda Kwa 400% Kutoka march 2021 Hadi July 2022?
Kwann hawafukuzi KAZI Makamba, Mwigulu ktk UWAZIRI?Ngoja Niongeze nyama Ili nikukere zaidi...
6.Ameweka anuani za makazi Nchi nzima,siku ukizeeka utasema ni Samia alifanya,ukipata kesi utajizamani.kwa sababu unatambulika.
7.Ameanza utaratibu wa kuwalipa jasho lao wafungwa Pindi wakimaliza vifungo vyao..Jela ni chuo sio Kambi za mateso kama yule mtu wenu alivyokuwa anafanya..Jasho lao lazima wafaidike nalo.
8.Atakuwa Rais wa kwanza kufikosha watalii mil.5 come 2025,Na Royal tour itaacha alama miaka na mikaka..
Kama hujarudhika uniambie niendelee kukukera..
Huna UWEZO kunijibu Kwa hoja, tafuteni mwingine!!!!Kaulize unamuuliza nani?
Kwani nimekufuat? Huwa sihangaiki na wapuuziHuna UWEZO kunijibu Kwa hoja, tafuteni mwingine!!!!
Kama vitisho vimeisha, iweje NDUGAI aondolewe Kwa HILA aliposema Kweli?watu wameacha kutishwa, kuteswa na kupotea potea kwa kiwango kikubwa. ingawa bado njaa ya mifukoni ipo ila tuna amani rohoni walau mtu una uhakika kwamba utaamka kwenda kwenye mihangaiko yako na kurudi nyumbani salama.
Ameshooshwa.Kama vitisho vimeisha, iweje NDUGAI aondolewe Kwa HILA aliposema Kweli?
Mfano ruzuku ya Bil 100 ya Kila mwezi imepunguza mfumuko wa Bei Kwa kiasi Gani?
Wengi kama nani? Kenge kama wewe au?Kwann hawafukuzi KAZI Makamba, Mwigulu ktk UWAZIRI?
Kwann anapuuza sauti ya wengi?
Huyo Chizi ndie tunaemuenzi sisi!Unafahamu mbio za kupokezana vijiti? Kama unafahamu yeye amepokea kijiti kutoka kwa chizi. Ugumu anaokutana nao na kuutatua ndiyo mafanikio yake.
Tangu aliporithi madaraka ya urais, ni kipi haswa alichokifanya mpaka sasa?
Kitu cha kushikika na kuonekana ambacho ukikitizama unasema naam hapa jambo limetendeka?
Kuna wapambe wasio na vichwa watasema Samia amedhibiti mfumuko wa bei.
Maana tangu alipoingia ikulu, kikubwa alichokifanya ni kuhamasisha machanjo.
Baada ya hapo akawa anatimka anakimbilia Ulaya mara Omani.
Jumatatu yuko Dar es salaam, Jumanne unashtukia kashatoroka katimkia Marekani. Utamsikia tu kwenye magazeti ya udaku.
Bei za bidhaa hazishikiki, kila kitu ukigusa ni moto.
Juzi hapa katoroka kaenda kuigiza filamu ya wanyama. Wala hashughuliki na mfumuko wa bidhaa wala kujigusa hata kutoa ufafanuzi watu waelewe.
Unashtukia tu ghafla katimka yuko sijui nchi gani. Anachokifanya hata hakijulikani.
Wale wapambe na ving'asti wa kuabudu wafalme, watuambie samia katenda jambo lipi la kushikika na kuonekana mpaka muda huu.
Mimi sijaona.
Wengi kama nani? Kenge kama wewe au?
Awafukuze Kazi Kwa sababu zipi?
Nitakuwa wa kwanza KUSIFIA ikiwa yafuatayo yatatimia ktk Nchi yangu TANZANIA..mipasho na kuongea kma chiriku
Ndugai alikuwa anautest utemi aliouasisi babake kama bado upo na unafanya kazi, karushwa kama samaki aliyemeza chambo cha wenyewe dadadeq.Kama vitisho vimeisha, iweje NDUGAI aondolewe Kwa HILA aliposema Kweli?
Mfano ruzuku ya Bil 100 ya Kila mwezi imepunguza mfumuko wa Bei Kwa kiasi Gani?
Wenzio wanakamatia fursa,we unakamatia ujinga,unataka Rais akujaze pesa mfukonituna rais wa hovyo wa kwanza na wa mwisho kutokea duniani,
mungu atusaidie tu tuvuke salama