Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 20,582
- 14,834
Legacy yake ni kulamba asali.Tangu aliporithi madaraka ya urais, ni kipi haswa alichokifanya mpaka sasa?
Kitu cha kushikika na kuonekana ambacho ukikitizama unasema naam hapa jambo limetendeka?
Kuna wapambe wasio na vichwa watasema Samia amedhibiti mfumuko wa bei.
Maana tangu alipoingia ikulu, kikubwa alichokifanya ni kuhamasisha machanjo.
Baada ya hapo akawa anatimka anakimbilia Ulaya mara Omani.
Jumatatu yuko Dar es salaam, Jumanne unashtukia kashatoroka katimkia Marekani. Utamsikia tu kwenye magazeti ya udaku.
Bei za bidhaa hazishikiki, kila kitu ukigusa ni moto.
Juzi hapa katoroka kaenda kuigiza filamu ya wanyama. Wala hashughuliki na mfumuko wa bidhaa wala kujigusa hata kutoa ufafanuzi watu waelewe.
Unashtukia tu ghafla katimka yuko sijui nchi gani. Anachokifanya hata hakijulikani.
Wale wapambe na ving'asti wa kuabudu wafalme, watuambie samia katenda jambo lipi la kushikika na kuonekana mpaka muda huu.
Mimi sijaona.
Kwakweli maana mpaka sasa legas yake ni mikopo tuAkiipa nchi KATIBA MPYA na bora ndio itakuwa legacy yake.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Legacy yake ni kulamba asali.
Kwa mfanyabiashara hasara kawaidaAfanye kazi gani wakati kibanda chake cha M pesa kimekula hasara na mtaji kwa kodi za kipumbavu
Hama Nchi tahila weweUnazungumzia wafanyabiashara hawa wanaodunduliza kufungua vi MPesa alafu wanatozwa tozo za hovyo hovyo? Au unadhani watanzania wote ni wafanyabiashara?
Gay wewe, yaan kazi hutaki,unataka Rais akuweke pesa mfukonatajua mwenyewe huko,, Mungu atuvushe salama tu kuondokana na hili poyoyo,,
Siko against Rais Samia, lakini hii yako siyo sababu ya maana. Magufuli alipokea kijiti kutoka kwa jizi, namaanisha jizi, lakini tuliona akijipambanua na kuonyesha uwezo wake ndani ya muda mfupi.Unafahamu mbio za kupokezana vijiti? Kama unafahamu yeye amepokea kijiti kutoka kwa chizi. Ugumu anaokutana nao na kuutatua ndiyo mafanikio yake.
1. KurembuaTangu aliporithi madaraka ya urais, ni kipi haswa alichokifanya mpaka sasa?
Kitu cha kushikika na kuonekana ambacho ukikitizama unasema naam hapa jambo limetendeka?
Kuna wapambe wasio na vichwa watasema Samia amedhibiti mfumuko wa bei.
Maana tangu alipoingia ikulu, kikubwa alichokifanya ni kuhamasisha machanjo.
Baada ya hapo akawa anatimka anakimbilia Ulaya mara Omani.
Jumatatu yuko Dar es salaam, Jumanne unashtukia kashatoroka katimkia Marekani. Utamsikia tu kwenye magazeti ya udaku.
Bei za bidhaa hazishikiki, kila kitu ukigusa ni moto.
Juzi hapa katoroka kaenda kuigiza filamu ya wanyama. Wala hashughuliki na mfumuko wa bidhaa wala kujigusa hata kutoa ufafanuzi watu waelewe.
Unashtukia tu ghafla katimka yuko sijui nchi gani. Anachokifanya hata hakijulikani.
Wale wapambe na ving'asti wa kuabudu wafalme, watuambie samia katenda jambo lipi la kushikika na kuonekana mpaka muda huu.
Mimi sijaona.
Hasa hasa Makamba! Watu wengi wa maeneo hayo wanasumbuliwa na Umwinyi majungu mengi kazi zero!1. Kurembua
2. Kudhania kila Kitu
3. Kubembeleza Waswahili Wavivu
4. Mipasho
5. Maneno mengi Vitendo Vichache
6. Kupapenda Dar kuliko Dom
7. Kupendelea zaidi Wanawake
Ukweli usemwe ...tusitegemee mwanamke kuja kuwa na legacy hata siku moja ..kwa sababu wanawake wanapata uongozi kwa kutumia tobo zao za chini wala si kwa akili zao vichwani.Tangu aliporithi madaraka ya urais, ni kipi haswa alichokifanya mpaka sasa?
Kitu cha kushikika na kuonekana ambacho ukikitizama unasema naam hapa jambo limetendeka?
Kuna wapambe wasio na vichwa watasema Samia amedhibiti mfumuko wa bei.
Maana tangu alipoingia ikulu, kikubwa alichokifanya ni kuhamasisha machanjo.
Baada ya hapo akawa anatimka anakimbilia Ulaya mara Omani.
Jumatatu yuko Dar es salaam, Jumanne unashtukia kashatoroka katimkia Marekani. Utamsikia tu kwenye magazeti ya udaku.
Bei za bidhaa hazishikiki, kila kitu ukigusa ni moto.
Juzi hapa katoroka kaenda kuigiza filamu ya wanyama. Wala hashughuliki na mfumuko wa bidhaa wala kujigusa hata kutoa ufafanuzi watu waelewe.
Unashtukia tu ghafla katimka yuko sijui nchi gani. Anachokifanya hata hakijulikani.
Wale wapambe na ving'asti wa kuabudu wafalme, watuambie samia katenda jambo lipi la kushikika na kuonekana mpaka muda huu.
Mimi sijaona.
Hii namba mbili ni kweli.1. Kurembua
2. Kudhania kila Kitu
3. Kubembeleza Waswahili Wavivu
4. Mipasho
5. Maneno mengi Vitendo Vichache
6. Kupapenda Dar kuliko Dom
7. Kupendelea zaidi Wanawake
tahila wewe
MPAKA SASA MAMA bado anapambana Kutafuta LEGACY yake ambayo WATANZANIA WATAMKUMBUKA MILELE na Ameanza vizuri na mimi namtabiria kuwa akiwapatia watanzania KATIBA WAITAKAYO hakika Atakuwa RAIS wa Pili mwenye LEGACY ya kukumbukwaTangu aliporithi madaraka ya urais, ni kipi haswa alichokifanya mpaka sasa?
Kitu cha kushikika na kuonekana ambacho ukikitizama unasema naam hapa jambo limetendeka?
Kuna wapambe wasio na vichwa watasema Samia amedhibiti mfumuko wa bei.
Maana tangu alipoingia ikulu, kikubwa alichokifanya ni kuhamasisha machanjo.
Baada ya hapo akawa anatimka anakimbilia Ulaya mara Omani.
Jumatatu yuko Dar es salaam, Jumanne unashtukia kashatoroka katimkia Marekani. Utamsikia tu kwenye magazeti ya udaku.
Bei za bidhaa hazishikiki, kila kitu ukigusa ni moto.
Juzi hapa katoroka kaenda kuigiza filamu ya wanyama. Wala hashughuliki na mfumuko wa bidhaa wala kujigusa hata kutoa ufafanuzi watu waelewe.
Unashtukia tu ghafla katimka yuko sijui nchi gani. Anachokifanya hata hakijulikani.
Wale wapambe na ving'asti wa kuabudu wafalme, watuambie samia katenda jambo lipi la kushikika na kuonekana mpaka muda huu.
Mimi sijaona.
Ana legacy kama zote..Tangu aliporithi madaraka ya urais, ni kipi haswa alichokifanya mpaka sasa?
Kitu cha kushikika na kuonekana ambacho ukikitizama unasema naam hapa jambo limetendeka?
Kuna wapambe wasio na vichwa watasema Samia amedhibiti mfumuko wa bei.
Maana tangu alipoingia ikulu, kikubwa alichokifanya ni kuhamasisha machanjo.
Baada ya hapo akawa anatimka anakimbilia Ulaya mara Omani.
Jumatatu yuko Dar es salaam, Jumanne unashtukia kashatoroka katimkia Marekani. Utamsikia tu kwenye magazeti ya udaku.
Bei za bidhaa hazishikiki, kila kitu ukigusa ni moto.
Juzi hapa katoroka kaenda kuigiza filamu ya wanyama. Wala hashughuliki na mfumuko wa bidhaa wala kujigusa hata kutoa ufafanuzi watu waelewe.
Unashtukia tu ghafla katimka yuko sijui nchi gani. Anachokifanya hata hakijulikani.
Wale wapambe na ving'asti wa kuabudu wafalme, watuambie samia katenda jambo lipi la kushikika na kuonekana mpaka muda huu.
Mimi sijaona.
Huu ni upuuziAna legacy kama zote..
1.Kajenga na kukamilisha sgr zote ,
2.Kaleta mapinduzi kwenye sekta ya Afya kwa kujenga majengo ya huduma za dharura Nchi nzima,kajenga vituo vya afya zaidi ya 230,Anajenga hospital ya Kanda ya Magharibi,anajenga Hospital ya Kitaifa ya Kina mama Dom,anajenga na kukamilisha hospital zote zilizokuwa zinasua sua ikiwemo Chato..nk nk.
3.Kaleta mapinduzi ya mageuzi makubwa kwenye elimu.Anabadiki mitaala yote,amejenga na anajenga Madara hakuna watoto kuingia shule kwa mafungu,anajenga veta zaidi ya 60 mikoa na Wilaya zote ambazo hazina,anapanua elimu ya Juu kwa kuhakikisha kila mkoa unakuwa na Kampasi ya chuo Kikuu,anajenga shule maalumu za mabinti kila mkoa nk nk.,
4.Amefanya mapinduzi ya kilimo kutoka kuwa cha kujikimu hadi kuwa cha kibiashara,kwa kuongeza bajeti ya kilimo kutoka bil.294 hadi bil.954,ameanzisha kilimo cha umwagiliaji kwa kutenga zaidi ya bil.360,amefungua kilimo kuwa cha biashara kwamba hadi sasa zao la mpunga/mchele ni zao kuu la biashara.nk nk,
5.Ameleta mapinduzi ya biashara na uwekezaji Nchini..Ameongeza mauzo ya Nje kutoka Til.8 hadi Til.10 kwa mwaka mmja,Ameongeza uwekezaji kutoka dola bil.1 hadi dola bil.8 ndani ya mwaka mmja..
Ukitaka niongeze legacy niambie maana ni nyingi sana
Ngoja Niongeze nyama Ili nikukere zaidi...Huu ni upuuzi