We umasikini unakusumbua, unahisi na mlivyokalilishwa na jiwe kwamba mtu kuwa masikini ndio uzalendo, na matajiri wote majizi,Unamaanisha majizi siku hizi hamsumbuliwi na TRA?
We kazi kufanya utaki unauza mak''alio yako, Utamuonaje Rais anafaa au serikali inafaa,tuna rais wa hovyo wa kwanza na wa mwisho kutokea duniani,
mungu atusaidie tu tuvuke salama
Wewe tuambie umeona mangapi na yapi Bado hujayaona🤔Tangu aliporithi madaraka ya urais, ni kipi haswa alichokifanya mpaka sasa?
Kitu cha kushikika na kuonekana ambacho ukikitizama unasema naam hapa jambo limetendeka?
Kuna wapambe wasio na vichwa watasema Samia amedhibiti mfumuko wa bei.
Maana tangu alipoingia ikulu, kikubwa alichokifanya ni kuhamasisha machanjo.
Baada ya hapo akawa anatimka anakimbilia Ulaya mara Omani.
Jumatatu yuko Dar es salaam, Jumanne unashtukia kashatoroka katimkia Marekani. Utamsikia tu kwenye magazeti ya udaku.
Bei za bidhaa hazishikiki, kila kitu ukigusa ni moto.
Juzi hapa katoroka kaenda kuigiza filamu ya wanyama. Wala hashughuliki na mfumuko wa bidhaa wala kujigusa hata kutoa ufafanuzi watu waelewe.
Unashtukia tu ghafla katimka yuko sijui nchi gani. Anachokifanya hata hakijulikani.
Wale wapambe na ving'asti wa kuabudu wafalme, watuambie samia katenda jambo lipi la kushikika na kuonekana mpaka muda huu.
Mimi sijaona.
Ona huyu MPUMBAVU umeulizwa ipi ni Legacy yake haujaulizwa mwendelezo wa legacy ya mwingine. Hayo mambo mengine yalishakuwepo tokea awamu zinginekama huoni alivyofanya basi unamatatizo kumkichwa
hizi ndio akili za hovyo tunazozisema kwaiyo unataka alipoingia tu aanze mambo yake mapya hapohapo?
Rais anaendeleza miradi yote iliyokuwepo hakuna mradi uliosimama, ndege kaendelea kununua elimu bure kaongeza hadi shule za advance, mishahara kaongeza, ajira katoa zaidi ya 50K ndani ya mwaka mmoja
sasa unataka nini dogo?
Nadhani mpaka sasa umetambua chizi ni nani maana swali dogo umeshindwa kujibuUnafahamu mbio za kupokezana vijiti? Kama unafahamu yeye amepokea kijiti kutoka kwa chizi. Ugumu anaokutana nao na kuutatua ndiyo mafanikio yake.
We umasikini unakusumbua, unahisi namlivyokalilishwa
Unazungumzia wafanyabiashara hawa wanaodunduliza kufungua vi MPesa alafu wanatozwa tozo za hovyo hovyo? Au unadhani watanzania wote ni wafanyabiashara?We hufanyi kazi yoyote zaidi ya kudanga,utaonaje alichokifanya Rais au serikali??! Sisi wafanyabiashara sasaivi hatusumbuliwi na TRA Wala kuchota pesa kwenye account zetu Kama kipindi Cha bwana yule, wafanyakazi wameboreshewa maslai yao
Si nasikiaga alikuwa secretary wa vikoba huyu?ni sawa tu,, lakini haiondoi uhalisia kuwa tuna rais wa hovyo tena hovyo kabisa asiyefaa kuwa hata house girl wangu akili hana
Kuna watu wajinga.Ila nadhani wewe ni MPUMBAVU.We umasikini unakusumbua, unahisi na mlivyokalilishwa na jiwe kwamba mtu kuwa masikini ndio uzalendo, na matajiri wote majizi,
Subiri upewe nishani ya kuwa masikini mzalendo,
Jiwe ameharibu Sana mentality yenu nyie majinga
Afanye kazi gani wakati kibanda chake cha M pesa kimekula hasara na mtaji kwa kodi za kipumbavuWe kazi kufanya utaki unauza mak''alio yako, Utamuonaje Rais anafaa au serikali inafaa,
Jinga kabisa
atajua mwenyewe huko,, Mungu atuvushe salama tu kuondokana na hili poyoyo,,Si nasikiaga alikuwa secretary wa vikoba huyu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]atajua mwenyewe huko,, Mungu atuvushe salama tu kuondokana na hili poyoyo,,
we ni falaOna huyu MPUMBAVU umeulizwa ipi ni Legacy yake haujaulizwa mwendelezo wa legacy ya mwingine. Hayo mambo mengine yalishakuwepo tokea awamu zingine