Legacy ya Rais Ali Hassan Mwinyi (91 years) ni nini?

Mzee mwinyi ni mtu muungwana sana na huwa katu hawezi jikweza ndo maaana kila mara huwa anasifia mwingine na sie yeye.

Hata alipoulizwa kuhusu mwalimu nyerere alisema "ukijaribu kunilinganisha mimi na mwalimu basi mimi ni kichuguu yeye ni mlima kilimanjaro"

Alhaj mwinyi muungwana sana bwana yule...!!
 
Watawala wa kiislamu uishi vizuri na wanaowaongoza thus Mungu uwabariki maisha marefu.
Wakristo uumiza watu,thus madikteta wengi ni Wakristo.
 
GH_EbGNW4AA63zk
 
Back
Top Bottom