johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,888
- 143,386
Ahsante sana πSio 19 ni 18
Wew umehesabu na engine mkuuAhsante sana π
Mabaya yake ni machache kwa wachache kuliko mazuri mengi kwa watanzania wengi sema tu wachche wakawa na nguvu kuliko wengiMagufuli hakuwa na mabaya kihivyo
Treni ya 'Mwakyembe' inahusiana nini na Magufuli?Magufuli hakuwa na mabaya kihivyo
Tatizo la mabaya yanakawaida ya kufuta mazuri. Na hii ni kwasababu mabaya yanaumiza na kuacha kovu la muda mrefuMabaya yake ni machache kwa wachache kuliko mazuri mengi kwa watanzania wengi sema tu wachche wakawa na nguvu kuliko wengi
Duniani wajinga wapo na ndio mtaji wa CCM. Kila kitu Magufuli pumbavu kabisa.Treni ya 'Mwakyembe' inahusiana nini na Magufuli?
Hivi hujui Treni ya 'Mwakyembe' ilianza kutoa huduma kuanzia mwaka 2012 chini ya utawala wa Kikwete?
Usipende kukariri mambo.
Nakubaliana na weweTatizo la mabaya yanakawaida ya kufuta mazuri. Na hii ni kwasababu mabaya yanaumiza na kuacha kovu la muda mrefu
Mwendazake alifanya mengi mazuri, lakini hii haimuondolei kwamba pia aliwaumiza watu na kuwaachia machungu pengine bila hata sababu za msingi kwasababu angeweza kutumia njia nyingine
Sio mbaya uka share na legacy yako Joπ€Jana usiku nimeshuhudia Chuma cha Dr Mwakyembe pale Buguruni kikiyoyoma kuelekea Pugu
Legacy
Mungu wa mbinguni mbariki Dr Mwakyembe ππ
Navalonge swela mwagito ππ₯Sio mbaya uka share na legacy yako Joπ€
Mwagito nilijua hata nitapata ukaribisho wa heshima hapo MufindiπNavalonge swela mwagito ππ₯
Una maana gani?Magufuli hakuwa na mabaya kihivyo
Yapo mema amefanya Kwa nchi na yapo mabaya amefanyaUna maana gani?