Legacy inapoyeyuka mithili ya jibini juani

Kiukweli wahenga hawajawahi kukosea kila walichokisema hutokea
Mfano!!! Ivumayo haidumu,Ngoma ililia sana jua inapasuka!!! Mbio za sakafuni huishia ukingoni!!! Na mingine mingi tuuuuu
Sasa sisi wazee wa legacy tupo hoi!!!
Kwa sasa kila jiwe lina geuzwa "juuu chini chini juuu" tatizo nn! Mbona hali imekuwa hivi!
1) Waliozuiwa wasiende shule kisa mimba sasa ruksa
2) Waliokuwa watendaji na kisifiwa wengi chaliiiiii wengine kumbe majambaz!!!
3) Bandari ya "bwaga moyo" ruksa
4) Uchumi wa kati kumbe ilikuwa hadaa alikuwa ni kopakopa!!!
5) Kale kakitongoji kuwa mkoa Noooooooo!!!
6) Madaraja juuu
7) Biashara na majirani iko poa!!!
8) Bwawa letu pendwa lilichokua mabilion halina maji!
9) Kufundisha uzalendo kwa kiswahili !!! Nooooo tupa kuleeee!

Sasa hata mwaka haujaisha legacy inayayuka mithili ya jibini katika jua Kali! Vipi ikiisha miaka mtano!
Tuheshimu wahenga

View attachment 2024232
Mkuu usiseme hivyo, mfumo unafanya kazi, majibu yatapatikana very soon. Legacy ya Dkt Magufuli iko live na kila mpinganji anashughulikiwa kulingana na wakati wake na hatimaye tutarejea kwa 100%. Hiki ni kipindi kibaya sana kwa viongozi wa ngazi zote, mwenye akili hawezi kufanya ya Mwambe au Makamba kwa sababu hao wameshajitengenezea anguko la daima ktk maisha ya siasa na maisha yao ya kawaida maana mizizi iliyopo ya kulinda legacy iko imara.
 
Makonda nae ana shitakiwa ligasi hoi
 
Hivi mkuu kwanini unatetea sana legacy?, Legacy inajiteteaga yenyewe, haitetewi na mtu,, usifikiri watu wanaofanya vitu tofauti na magufuli eti ni wasaliti,, kila zama na mambo yake, na kila kiongozi na uongozi wake,
Nyerere alikua mjamaa, hakutaka kabisa kukubali masharti ya IMF,, nchi ikadorora, Nyerere bado aligoma na akaamua kung'atuka,,
Mwinyi alifuata, alikubali masharti ya IMF, nchi ikafunguka,,
Lakini nyerere, akina warioba na team nyerere, hawakuwahi kuanza kumsema mwinyi eti amemsaliti Nyerere,
Kila kiongozi anakuja na mipango yake, magufuli siyo mungu
 
Kiukweli wahenga hawajawahi kukosea kila walichokisema hutokea
Mfano!!! Ivumayo haidumu,Ngoma ililia sana jua inapasuka!!! Mbio za sakafuni huishia ukingoni!!! Na mingine mingi tuuuuu
Sasa sisi wazee wa legacy tupo hoi!!!
Kwa sasa kila jiwe lina geuzwa "juuu chini chini juuu" tatizo nn! Mbona hali imekuwa hivi!
1) Waliozuiwa wasiende shule kisa mimba sasa ruksa
2) Waliokuwa watendaji na kisifiwa wengi chaliiiiii wengine kumbe majambaz!!!
3) Bandari ya "bwaga moyo" ruksa
4) Uchumi wa kati kumbe ilikuwa hadaa alikuwa ni kopakopa!!!
5) Kale kakitongoji kuwa mkoa Noooooooo!!!
6) Madaraja juuu
7) Biashara na majirani iko poa!!!
8) Bwawa letu pendwa lilichokua mabilion halina maji!
9) Kufundisha uzalendo kwa kiswahili !!! Nooooo tupa kuleeee!

Sasa hata mwaka haujaisha legacy inayayuka mithili ya jibini katika jua Kali! Vipi ikiisha miaka mtano!
Tuheshimu wahenga

View attachment 2024232

Ndugu mtoa maada!!…najaribu kua muungwana kidogo!!
Kama ww n mkenya au mganda au mrwanda sitashangaa sana kwa mtazamo huu….kwasababu waafrika wengi bado wanamfumo au utamaduni wa kuchukiana (M
Adui wa mtu mweusi ni Mtu mweusi mwenyewe)

ila kama ww n mtanzania basi unaonesha kutokua mkomavu wa kifikra.
-Uongozi uliopita ulifanya mazuri mengi pia nao una kasoro zake!!.. lakini haifanyi kua watanzania kugawanyika kwani naamini kwa miradj yeyote iliyoanzishwa basi ni kwa manufaa ya watanzania na kizazi cha tanzania na ikiwemo na wewe na ndugu zako!!…

-Kitendo cha kufurahia kufeli kwa miradi au jitihada ambazo zilikua na nia njema kwa taifa hili kuna kufanya ww uwe na sifa za kihaini au kutojua unachopambana nacho !! Hapa ww huna tofauti na mtoto anaefurahia shamba lao kuungua moto huku ilihali familia hutegemea shamba hilo hilo kupata chakula na mahitaji mengine ambayo nae amekua akinufaika

-Ingependeza kama kuna hoja au mradi au itikadi ulikua hukabaliani nayo utoe mawazo namna gan nzuri ya kutekeleza jambo fulani au mradi fulani (kama una ujuzi au utambuzi wa jambo hilo)…Naamini humu kuna viongozi au watu wenye ushawishi ambao huyachukua mawazo au kupokea ukosoaji wenye hoja na hata kuchangia kwene mabadiliko ya jambo!

Tumeshuhudia jinsi mambo ambayi serikali au wanasiasa wakiyabadilisha baada ya watu /Mtu kuchangia weredi katika Wazo/Mradi/Sera fulani katika nchi yetu na kua sehemu ya kujenga!!…
Haipendezi mtu mzima/kijana kua kama mtoto kusuta /Kuzogoa pasipo na hoja wala weredi wa chochote serikali inachofanya bila kuonesha namna nzuri unayoona!!….
Naamini umeelewa
 
Rais bora ni yule 1:anaesimamia serikali yake kutekeleza ilani ya chama chake kwa mujibu wa katiba na sheria
2:Anaezingatia utawala wa sheria haki na demokrasia
Ukifanya hivi huwi kiongozi Bora unakua adiluted leader ambae hanajipya Sana ,kiongozi unawfuata maandishi Tu yawe mazuri au mabaya
 
Ndugu mtoa maada!!…najaribu kua muungwana kidogo!!
Kama ww n mkenya au mganda au mrwanda sitashangaa sana kwa mtazamo huu….kwasababu waafrika wengi bado wanamfumo au utamaduni wa kuchukiana (M
Adui wa mtu mweusi ni Mtu mweusi mwenyewe)

ila kama ww n mtanzania basi unaonesha kutokua mkomavu wa kifikra.
-Uongozi uliopita ulifanya mazuri mengi pia nao una kasoro zake!!.. lakini haifanyi kua watanzania kugawanyika kwani naamini kwa miradj yeyote iliyoanzishwa basi ni kwa manufaa ya watanzania na kizazi cha tanzania na ikiwemo na wewe na ndugu zako!!…

-Kitendo cha kufurahia kufeli kwa miradi au jitihada ambazo zilikua na nia njema kwa taifa hili kuna kufanya ww uwe na sifa za kihaini au kutojua unachopambana nacho !! Hapa ww huna tofauti na mtoto anaefurahia shamba lao kuungua moto huku ilihali familia hutegemea shamba hilo hilo kupata chakula na mahitaji mengine ambayo nae amekua akinufaika

-Ingependeza kama kuna hoja au mradi au itikadi ulikua hukabaliani nayo utoe mawazo namna gan nzuri ya kutekeleza jambo fulani au mradi fulani (kama una ujuzi au utambuzi wa jambo hilo)…Naamini humu kuna viongozi au watu wenye ushawishi ambao huyachukua mawazo au kupokea ukosoaji wenye hoja na hata kuchangia kwene mabadiliko ya jambo!

Tumeshuhudia jinsi mambo ambayi serikali au wanasiasa wakiyabadilisha baada ya watu /Mtu kuchangia weredi katika Wazo/Mradi/Sera fulani katika nchi yetu na kua sehemu ya kujenga!!…
Haipendezi mtu mzima/kijana kua kama mtoto kusuta /Kuzogoa pasipo na hoja wala weredi wa chochote serikali inachofanya bila kuonesha namna nzuri unayoona!!….
Naamini umeelewa
Huyu binti hajui hata anatetea nini au anataka nini kifupi hasomeki maana mtu kuchukia mradi kama Stgglers kichwani kwake lazima tupate wasiwasi kama kuna mafi au takataka gani halafu na hii roho ya kujipendekeza kiukweli sio nzuri hata kidogo unakuta mtu anaropoka matusi au maneno ya kashfa ili tu aonekane anampenda mama sasa hizo teuzi kila mtu atapewa jamani?mtakuja ***** kwa kujipendekeza mbwa nyie

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom