Hali inaanza kuwa ngumu... Tumeshuka hadi nafasi ya tatu.... Brentford, ipswitch town na Villa... Tunahitaji tushinde zote kwa magoli mengi.... Kwenda kucheza playoff ni hatar zaidi...
Kikosi hatari hiki chini ya kocha David OLeary kikiwa na watu wa hatari kina olivier dacourt ian hart eirik bakke lee bowyer alan smith rio gavin ferdinand garry kellly dany mills na nigel martyn