Mwenye kupata hyo tv aina yeyote bei isizidi laki 3Tsh...contact 0763443210
yani mbwembwe nyingi una laki 3 ndo unataka uletewe hadi mlangoni? nenda madukani katafute used
Shut up!...
limekukaba kunywa maji
Zipo nyingi karibu na dampo gongo la mboto wamachinga wanaziuza TBS walizipeleka huko ili katapila lizipondeponde wamachinga wakaziwahi bei karibu na hiyo uliyotaja wewe laki 250000-300000 huna hata haja ya king'amuzi.Mwenye kupata hyo tv aina yeyote bei isizidi laki 3Tsh...contact 0763443210
Hata jeshini, huwezi kupata Led Tv kwa bei hiyo, pamoja na kwamba bidhaa zao ni duty free!ahahahhaaa rudi kajipange upya!!!!!mkuu nenda jeshini pale jirani na saba saba kurasini unaweza kupata usikate tamaa kwa kuletewa sahau