Lecturer part 3

Ni chuo gani Katavi University au???

....sijui kitakua kata gani...
Lecturer atakuaje lofa kiasi cha kutuma msg za vitisho wakat kuna sijuation A B before...
Hadithi hii mtunzi anaelekea iharib...
Na sijui walibadilishana vp namba za simu...na kwa lengo lipi?
 
Pole yako....,mimi si ishi kisiwan ndugu.Mwalimu ana watu wake darasan na nahis kati ya hao wamempatia hiyo namba.Mambo ni mengi sana
 
Ngoma ikivuma sana...... Miss Strong, nakusihi sasa uuachie uongozi wa chuo ulishughulikie hili suala! Achana na mambo ya ushabiki, get time to study, uko chouni kusoma na si kukomoana na watu! Nina experience nzuri tu ya organisation behaviour za kibongo! Kubebana ni kwingi, usijejikuta siku ya mwisho hata hiyo degree unaikosa kama utakomaa na huyo, I am sure he is not alone, wapo ma-lecturer rafiki zake ambao hili linawachukiza. Sikuogopeshi dada yangu, "tumikia kafiri upate wako mtaji" Achana naye keshajifunza....!
 
Yes....mimi sikuwa na time na huyu jamaa mkuu makoye78 ila alinichezesha rumba sana.Nimeliacha kwenye uongoz kama kawaida ila kinachoniudhi ni hii sms.Kama ni yy kwel bas akae na kutafakar kama nina stahil kufanyiwa hivyo ktk hak yangu
 
Damn make him bleeding kwa uzembe wake.
 
...Shigongo anawaleta vijana wanaoomba kazi hapa kufanya practical...
Na hakika huyu kashachukua kazi....

Mkuu nakubaliana nawe sana. Huyu ni binti ni mtungaji mzuri sana na mpaka part 5 nafikiri
 
Mkuu nakubaliana nawe sana. Huyu ni binti ni mtungaji mzuri sana na mpaka part 5 nafikiri
halafu kinanishangaza watu wanaishikia bango hii story ya upande mmoja!!!kama imeshafikishwa kwa uongozi wa juu kwa nini asikitaje hicho chuo maana si siri tena!!
 
Inaonekana wewe ndiye huyo mbakaji, mbona imekuuma sana na kumshikia bango binti ya watu? Kwani hata kama ni mwanamke ndio asiwe na haki ya kuchagua ampendaye? Yaani agawe tu bila ridhaa yake kisa ni mwanamke anatakiwa kufanywa? Hebu jaribu kushirikisha ubongo wako.

...i curiously await ur 2nd come back at MMU...after this saga..

I cant wait 2 c ur other side like.. ''im in love",''i need a man" ,"my pusi doesnt reach at peacks"....etc

Im watchng u girl... hahaha....or else u change ur ID
 
halafu kinanishangaza watu wanaishikia bango hii story ya upande mmoja!!!kama imeshafikishwa kwa uongozi wa juu kwa nini asikitaje hicho chuo maana si siri tena!!

Kufikishwa kwa uongoz haimaanishi kuwa ndo nitaje chuo....Uongoz haujatoa maamuz ya mwisho.Chio nitataja tuu.
 
Nakupongeza binti kwa msimamo wako huo
usikate tamaa pia naupongeza uongozi wa chuo kuonesha ushirikiano chanya kwako nadhani hii itatoa fundisho kwa wote watumiao nafasi zao kufanya maovu huyu Mungu azidi kukupa ujasiri.
 
hiyo sms ni ushahidi mwingine hifadhi na hiyo namba hifadhi. uhakikishe ana wajibishwa si kuweka marks tuu! ukiona dalili za kusamehewa nenda kule nilipo kushauri!
 
Kufikishwa kwa uongoz haimaanishi kuwa ndo nitaje chuo....Uongoz haujatoa maamuz ya mwisho.Chio nitataja tuu.

Ndugu (sijui mwanamme au mwanamke; am still not pretty sure so far) hapa umetunga na uzuri wake umefanikiwa kuwashika watu wanaamini hisia hata kama ni za kuigiza. hawa ndio wanalia sana wanapoaangalia movies bila kufikiri kuwa huo ni UIGIZAJI. Wote tumesoma na tunajua haya lakini huwa hayawi kama unavyotaka watu waamini. Style gani hii ya kuja na parts za story moja... Umewashika wapenda filamu lakini sisi wengine wenye upeo mkubwa hutaweza kutudanganya... I guess you are not a good student if at all you are schooling otherwise I dont see any potentiality of studentship and scholarship in you.
 
hiyo sms ni ushahidi mwingine hifadhi na hiyo namba hifadhi. uhakikishe ana wajibishwa si kuweka marks tuu! ukiona dalili za kusamehewa nenda kule nilipo kushauri!

Thanx Rutta.....Mungu akubariki sana.
 
Wala sioni ajabu....huo ni mtazamo wako pia!Mungu akubarik
 
relax na anatapatapa hoyo!hizi meseji usifute,unaweza kuwa ushahidi baadae!komaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…