Lecture cbe-dom mr maniche auwawa kikatili

Lugeye

JF-Expert Member
Apr 18, 2011
1,679
2,914
Habari zilizozagaa hapa chuoni ambazo hazijadhibitishwa rasmi zinasema mwl wa cbe hapa dodoma usiku wa kuamkia leo tarehe 11/4 ameuwawa kikatili na watu wasiojulikana vyanzo vya habari vinasema lecture huyo anaefahamika kwa jina la MR MANICHE alivamiwa na vibaka mida ya usiku eneo la kikuyu ambako ndiko alikokua anaishi,wanachuo wengi walikuwa wamejikusanya vikundi vikundi wakiwa hawaamini kile kilichotokea na wengine kulazimika kurudi hostel,mwl atakumbukwa kwa ufundishaji wake mahiri ktk somo la ENTREPRENEURSHIP,hadi tunakwenda mtamboni bada taarifa rasmi kutoka ktk uongozi wa chuo hazijatolewa,
 
Ni Lecturer mkuu siyo Lecture!!Poleni sana kwa msiba,je polisi wameshatoa updates zozote kuhusiana na vibaka hao?
 
kumbe ni lecture! lecture inaonekana? labda ni lecturer na umesema hazijathibitishwa,tupe habari za uhakika. nashindwa nichangie nini.
 
Japo siipendi UDOM kabisa, ila kama habari hii ni ya kweli inasikitisha sana kwa unyama huu. Uchunguzi makini ufanyike.
 
Aisee.. R.i.p Maniche.. Amenifundisha ENTREPRENEURSHIP, hapo CBE DOM, Alikua pia ni afisa masoko wa Halimashauri ya Dom..
Pumzika kwa amani mzee Maniche, ulikua mpole sana..
 
Tafuta habari kamili ndio upost. Unasema "kikatili" wakati hujui hata kafaje!.
Anyway, poleni wana cbe kwa kuondokewa na lecture(r)
 
Japo siipendi UDOM kabisa, ila kama habari hii ni ya kweli inasikitisha sana kwa unyama huu. Uchunguzi makini ufanyike.

Endelea kutoipenda Udom, ka chuo unachosoma kimechukua watu dizain yako napata wasiwasi...kuna sehemu umeona habari za Udom hapo? Uwe unasoma kwanza kilichoandikwa...
 
Wadau mimi nimefuatilia kwa wanaofundisha cbe dom, ni kweli ameuwawa kwa kukatwa koo, ni part-time lecturer, mi ninafundisha cbe mwanza.
 
lecture?????hivi vyuo vya siku hizi ni janga lataifa

Mkuu umeona eeh? Yaani mtu uko chuo kikuu bado tu hata kutofautisha maneno yanakushinda? Shule za Kata ni janga la Taifa. Lakini hawa wakute kazini wanavyojiinua utakôma! Kumbe kichwani hamna kitu!
 
Poleni sana. Jamani, wanawake tunazaa vitu vya ajabu! Sasa ukate koo la bin adam! Dah, damu ya Yesu iwafuatilie hao vibaka wauaji hadi watubu!
 
Mkuu umeona eeh? Yaani mtu uko chuo kikuu bado tu hata kutofautisha maneno yanakushinda? Shule za Kata ni janga la Taifa. Lakini hawa wakute kazini wanavyojiinua utakôma! Kumbe kichwani hamna kitu!
Daa,ni kweli kabisa,yaan wanakuwa hi mbaya,utendaji mbovu,kaz kwel kwel
 
Inaniudhi watu kushabikia jambo ambalo halijathibitishwa, mwanzilishi wa thread ungeipiga "TETESI". Ndo matokeo yake akiibuka ghafla katika hayo makundi watu wata toka mbio mbaya... Hebu leteni evidence jamani na kama kuna mwana JF aliyeko huko na kathibitisha atujuze
 
Back
Top Bottom