mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,336
- 6,426
- Thread starter
-
- #41
Anakijua ila kampa taarifa ili siku ya siku amwambie kwamba hiyo text ndo ya yule nilikueleza kuwa ananitaka na mi simtaki!!!!!!
Chezea wanachuo??????!!!!!
MKUU zemarcopolo cdhan kama ataweza coz mara kbao ananiambiaga issue za khvyo
Hakuna kitu kama hicho wewe usidanganyike. Mwambie mpenzi wako asome na awe makini na assignments zake zote. Afanye assignemnts zote na aweke vizuri matokeo kwa ushahidi. Kuandikiwa INCOMPLETE ina maana hajafikia marks za kumwezesha kuPASS ambazo hujumlisha assignments za darasani i.e. take home assignments, group/individual assignments, tests pamoja na UE. Akiwa amefaulu assignments kiasi cha kuruhusiwa kufanya UE huyo Lecturer hawezimwandikia INCOMPLETE. Na hata aiamua kumfelisha wapo wanaopitia matokeo kabla hayajatolewa.
MKUU zemarcopolo cdhan kama ataweza coz mara kbao ananiambiaga issue za khvyo
.................Hakuna kitu kama hicho wewe bwana............. haiwezekani chuo kizima kiwe kimeoza na bado kinasurvive bwana!...................... We mwambie awe anakuletea assignments zake anazofanya for references!
Hata kama ni research mwambie mpenzi wako asiwe na shaka yeye akaze buti na ajue anachoandika. Research paper haisahihishwi na mwalimu mmoja tu. Kuna internal na external examiner. (Natamani ningejua ni chuo gani.....walimu madhalimu ya aina hii ni lazima yakomeshwe)MKUU ni research xo xijajua utaratbu wa chuo chao kwan pepa la u.e alishafanya ndo alikuwa ana submit hyo research cjui
Hahhahaha frakitosho, awe anazihifadhi tu for references mydia sio kuzikagua. Loh nimejikuta nacheka kwa nguvu lol
we ujaelewa yeye kasema kwenye research?
We huyo msichana muongo.
Kama kweli anamtaka kwanini asiweke mtego katika vitengo husika ikiwepo PCB.
Tena watu hao wanatafutwa kweli.
Hapo kuna mawili
-Inawezekana kabisa anakula mzigo huo,sasa huyo dem anajilinda mapema,ili kama ikipigwa simu ujue kwamba jamaa anafukukuzia,siunajua zile za kuzugia.
-Pili inawezekana kwamba dem anakupima mapigo ya moyo,kuna madem wanapenda sana usumbufu kwa wenzao hasa akiona humfuatilii sana,sasa hapo anataka kuonajinsi unavyochacharika kuhusu yeye,wapo madem dizaini hizo.
Kuwa makini,chukua hatua.
We ujaelewa yeye kasema kwenye research?
mkuu thanx kwa kunielewa
Usifanye nchezo na Incomplete wewe!
umefikiria kutoa jibu hilo?
Hapo nimekusoma best. Sasa nae huyu form four failure kwa nini asitafute mwanamke wa design zake? Mi naona huyu wa chuo awaachie wasomi wajivinjari nae.
MALALAMIKO GANI? WEEEEEEEEEEEEE! THUBUTU YAKE! Nchi ishauzwa hii. Mwenyewe nimefanyiwa fitna ila nimenyuti tu! Hata angenipa SUPU 100, Nitazifanya tu ila sio KUNGOA JINO SIMBA NA MKONO!!!!!!!!!!
Chozi la mnyonge lalipwa kwa Mungu baba.
mkuu tarimo wa rombo hakuna incomplete kwenye research......its either pass or failed.
wewe sasa wantia mashaka mie, yaani kwa kuwa anakwambia mara kwa mara juu ya haya basi nawe wamwamini??? Mie nahisi anakutengenezea mazingira tu kuwa incase ukijambamba akwambie si nilikwambia? Najikuta natamani kukuuliza kama wewe ulipitia chuo kwa kweli? Samahani lakini unaonekana kuna vitu unaviunderestmate
unaelewa maana ya mwanamke kukupa taarifa kama hiyo lakini mkuu?
cfahamu mkuu ndio maana nikaomba msaada hapa ili nipate mawazo mbal mbal na niyachanaganue
hata kama ni research mwambie mpenzi wako asiwe na shaka yeye akaze buti na ajue anachoandika. Research paper haisahihishwi na mwalimu mmoja tu. Kuna internal na external examiner. (natamani ningejua ni chuo gani.....walimu madhalimu ya aina hii ni lazima yakomeshwe)