Yaani huyo msichana 'hajui' cha kufanya?
hajui wapi apeleke malalamiko yake?
MALALAMIKO GANI? WEEEEEEEEEEEEE! THUBUTU YAKE! Nchi ishauzwa hii. Mwenyewe nimefanyiwa fitna ila nimenyuti tu! Hata angenipa SUPU 100, Nitazifanya tu ila sio KUNGOA JINO SIMBA NA MKONO!!!!!!!!!!
Chozi la mnyonge lalipwa kwa Mungu baba.
Hakuna kitu kama hicho wewe usidanganyike. Mwambie mpenzi wako asome na awe makini na assignments zake zote. Afanye assignemnts zote na aweke vizuri matokeo kwa ushahidi. Kuandikiwa INCOMPLETE ina maana hajafikia marks za kumwezesha kuPASS ambazo hujumlisha assignments za darasani i.e. take home assignments, group/individual assignments, tests pamoja na UE. Akiwa amefaulu assignments kiasi cha kuruhusiwa kufanya UE huyo Lecturer hawezimwandikia INCOMPLETE. Na hata aiamua kumfelisha wapo wanaopitia matokeo kabla hayajatolewa.
pole
rudisha avatar ya zamani basi
hii iko more childish
mpenz wangu kanilalamikia lecture wake anamtaka kimapenz kamwambia kama asipo mpa TUNDA la kati basi atamwandikia INCOMPLETE katika research yake.naomben ushauri Nimsaidiaje my wyf material coz nampenda sana
Ungejua COURSE WORK ndo Lecturer haingiliwi kabisaaaaaaa! Hata ukifanya hivo vitu NAKUSAISHIA KIMAFIA TU!!!!!!! Mhhhhhhhhhhhhh! Hapo dawa ni kuwa mpole tu, na kujiandaa na Supu.
Ubaya una mwisho wake. Usipopambana anachoka kukushambulia.
lara 1 uinambie hata wewe mjanja umekamatika????MALALAMIKO GANI? WEEEEEEEEEEEEE! THUBUTU YAKE! Nchi ishauzwa hii. Mwenyewe nimefanyiwa fitna ila nimenyuti tu! Hata angenipa SUPU 100, Nitazifanya tu ila sio KUNGOA JINO SIMBA NA MKONO!!!!!!!!!!
Chozi la mnyonge lalipwa kwa Mungu baba.
Amwandalie mtego tu.....la sivyo mwisho wa siku watasumbuana.Wengi tabia zao ni hizo hizo
hebu m pm mwenzio umsaidie
niliwai mteka lecturer kwa issue hizo.nilikodi watu 6 kipind niko chuo. walichofanya hao vijana 6 walimliberal na kumrecord video.
huyo lecturer alikuwa anasumbua sana mabint wengi japo alikuwa ameoa na watoto 6.
ile video nikamtumia wife yake atimaye waliachana pia nikatoa copy nying nikazimwaga chuo. yule lecturer alikimbia chuo sasa hiv nasikia ni mkulima.
hii ilitokea nchi fulani ya mbali siwez itaja.
ila nilimtumia barua ya kuomba samahan lakin sikuandika jina. nimetubu.
Ckia kumegewa hal ya kawaida sana hapo hata tutoe ushaul vp kusov sahau akil ya dem kumteka tcha akizubaa ataliwa kwel labda ukashtak kwa kikwete.
Ckia kumegewa hal ya kawaida sana hapo hata tutoe ushaul vp kusov sahau akil ya dem kumteka tcha akizubaa ataliwa kwel labda ukashtak kwa kikwete.
.................Hakuna kitu kama hicho wewe bwana............. haiwezekani chuo kizima kiwe kimeoza na bado kinasurvive bwana!...................... We mwambie awe anakuletea assignments zake anazofanya for references!
Usipokuwa makini lecturer atakula mzigo sasa hivi!!!
Hivi form four failure anaweza kukagua assignments za chuo?