We huyo msichana muongo.
Kama kweli anamtaka kwanini asiweke mtego katika vitengo husika ikiwepo PCB.
Tena watu hao wanatafutwa kweli.
Hapo kuna mawili
-Inawezekana kabisa anakula mzigo huo,sasa huyo dem anajilinda mapema,ili kama ikipigwa simu ujue kwamba jamaa anafukukuzia,siunajua zile za kuzugia.
-Pili inawezekana kwamba dem anakupima mapigo ya moyo,kuna madem wanapenda sana usumbufu kwa wenzao hasa akiona humfuatilii sana,sasa hapo anataka kuonajinsi unavyochacharika kuhusu yeye,wapo madem dizaini hizo.
Kuwa makini,chukua hatua.