Leave Whatsapp group bila members wengine kujua

Umeanza vizuri mkuu ila umemalizia kibwege sana.

Unajua wakati mwingine huwezi kuelewa kitu mpaka kikuguse kulingana na heshima na hadhi yako tena unapokuwa watu maarufu sana kila unachokifanya kinaweza kutafsiriwa hovyo.
Nikushauri tu uache wakati ujibu ipo siku utakuja ukumbuka huu uzi.
 
Hata kama kungekua na namna ya kujitoa bila watu kujua, haileti picha nzuri kuonanekana haupo kumbe ulishatoka.

Bora utoke wajue kwamba umetoka, endapo atakuuliza mtu unaweza kumjibu kama kuna ulazima, huwezi kuwafurahisha watu wote.

Whatsapp wangeweka mtu uweze kuthibitisha kuungwa kwenye group, request ije lakini niamue mimi kwamba niungwe au nisiungwe kama ilivyo kwenye facebeek friend request.
 
Umewaza kama mimi mkuu
 
Just change number on whatsapp alafu aga then ondoka, itachukua mda mpaka wajue umeondoka so.........
 
Delete WhatsApp account yako then jiunge tena ila unaweza ukakosa magroup mengine unayoyaitaji,.
 
Nilijua babaisha itakuwa nyiiiiiingi. Nimemkumbuka mwalimu wangu wa Math alikuwa kilaza mkimmuliza swali jipangeni atakumbusha makosa mengi na kuzungusha asitoe jibu. Hivi hatujajua kuwa lei whatsapp leo ni sehemu ya kijamii huwezi kuleft kibwege kama ni mstaarabu . Afadhali aliyeshauri uage
 
Hill swali kuna mdau alishawahi kuuliza humu ila nimeshindwa kuupata huo Uzi,ni kwamba;
Nenda kwenye settings ya whatsapp yako,then notifications halaf 'group notification' then una 'mute'au disable group notifications au
Nenda ' group info' ya group husika halafu select 'mute' hapo nadhan utakua umefanikiwa.
 
Unashindwaje kuondoka kwenye group la WhatsApp kama umeona halina tija? Watu mpoje?

Very simple. Waage tu. Waambie kwa sasa kuna changamoto unapitia na unatoka kwenye group na utaomba kurudi ukishakaa sawa. Tuma hiyo then left immediately bila kuruhusu mjadala. I have done several times na wala hakuna aliyenimind
 
Reactions: SMU
Ukimute unakuwa hujatoka. What happens ni kwamba msg za group hilo zikiinga hupati “notification”/ husikii kelele ila zinaingia fresh tu na unaweza kuzisoma na kucomment. Taabu yote ya nini? Just be a man enough uondoke humo
 
Kwa hiyo hamna mwenye ujanja huo kutoka ktk group kimya kimya maana bila watu kuona wala kujua!!!?????
 
Ukimute unakuwa hujatoka. What happens ni kwamba msg za group hilo zikiinga hupati “notification”/ husikii kelele ila zinaingia fresh tu na unaweza kuzisoma na kucomment. Taabu yote ya nini? Just be a man enough uondoke humo
Kwa hiyo hamna mwenye ujanja huo kutoka ktk group kimya kimya maana bila watu kuona wala kujua!!!????? Maana naona mnajibu tofaut na majibu anayoyataka basi semeni hamuwezi kuliko kujifanya kujibu majabu ambayo sio.
 
Kwa hiyo hamna mwenye ujanja huo kutoka ktk group kimya kimya maana bila watu kuona wala kujua!!!????? Maana naona mnajibu tofaut na majibu anayoyataka basi semeni hamuwezi kuliko kujifanya kujibu majabu ambayo sio.
 
Unakuwa hujaleft bado...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…