Leave Jesus alone!

Dah...Hivi bado kuna watu wanatafu kazi eeh!! Pole zao.
 
Ningewapata wote itakuwa vizuri...ila tarehe ya usahili kila mmoja na ya kwake halafu unafanyikia Zanzibarrrr

Mmmhhhh!!!ngoja nikuache haya watakutafuta,na mkeo atakuwepo wakati wa usahili??
 
Yaani kwa sababu wewe unautumia mwili Wako kupata utakayo, kila unaemuona kafanikiwa unahisi mwenzio? Kalaghabaho, jiamini. Woga Wako ndio umaskini wako

Kwann imekugusa?umewah nn?sijaona mantik ya kupanik aiseee
 

nimeipenda sana Post yako. Tukutane namnani hotel room no 304 nikupe zawadi yako
 
Last edited by a moderator:
Hujuii eeee au ukishashiba unamsahau mwenye njaa!!!!!!!

Sija wahi na sina hiyo historia sio kama nimeshiba hapana me huwa naishi kwa plan B, kuwa na elimu kwangu sio kwamba ndio kila kitu au mtu ubweteke kwa kutegemea kuzunguka kutafuta kazi maofisini, elimu yenyewe ni mtaji tosha..!!!!
 
Mabosi wanazani kupewa ngono na wanafunzi kutoka vyuo wamepata, kumbe watoto wenyewe hiyo kitu sio issue ameanza kugawa kwa mwalimu wake wa primary, sekondari, chuo bila kusahau tuition, na leo eti mabosi wanashobokea kwake sio issue atawapanga tu hadi awe viti maalumu. Viongozi wajiheshimu performance yenyewe ndogo lakini hawaishi tamaa. Zinaa mwisho wake mbaya ukimwi na bdaye moto wa milele.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…