Leave Jesus alone!

kwa hio Dinazarde utaenda kufanyiwa interview nyingine huko? ukifeli tena inakuwaje? hahaa!

kwa mfano, unaenda kufanya interview kwa nafasi za kazi kwa coy ya Eiyer au Kaizer.. hao ndo mabosi sasa!

Uzuri sitafuti kazi upo!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
kwa hio Dinazarde utaenda kufanyiwa interview nyingine huko? ukifeli tena inakuwaje? hahaa!

kwa mfano, unaenda kufanya interview kwa nafasi za kazi kwa coy ya Eiyer au Kaizer.. hao ndo mabosi sasa!
mwallu ameniambia unaniita

Eti ni kweli au alitaka kunisumbua tu?
 
Last edited by a moderator:
Mnapata wapi ujasiri wa kulitumia hilo jina kwenye mada kama hizi?

Nimeogopa sana!!
 
Nataka ya huyo mdada anaejigamba kua yesu kafanya kweli, ili nimzomeee aache katabia ka...:msela:

Hahhhahhha wapo wengi we ukiona mtu anapayuka humu kawa mkalii ujue ujumbe umemtouch,si unajua ukweli unauma siku zote
 
Mnapata wapi ujasiri wa kulitumia hilo jina kwenye mada kama hizi?

Nimeogopa sana!!

Kwani kuna watu hua hawamsingizii Yesu!!!?mbona hiyo ipo baba paroko
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…