ibrahim kisili
Member
- Feb 20, 2011
- 13
- 8
Jamani tujitokeze na tutoe ufafanuzi juu y dhana nzima ya kutojadili swala lililoko mahakamani...ongezeko la kuitumia mahakama kama kivuli inanitia kinyaa na niaibu kwa wanasheria nchini. Kwa nini katika maswala mazito mara moja tunakimbilia mahakamani na kudai tunaheshimu sana mhimili huo kwa kutozungumzia swala lililoko mahakamani? wimbi hili la kukimbilia mahakamani limeongezeka sana kipindi hiki hadi kufungua mashauri ambayo sio ya msingi kama hili la mwendawazimu halafu tunakatazwa kujadili kwa kina swala zima. Ila what i believe siku moja mahakama zetu tukufu pamoja na wanasheria weledi watatoa ufafanuzi kwa jamii ni kipindi gani na swala gani lililoko mahakamani halijadiliki? Ni hayo tu.