Mkuu, nadhani tatizo lilikuwa kwa browser niliyotumia mwanzo kuzifungulia hizo link ndiyo ilikuwa inaniletea shida, ilikuwa inasema page not found. Nimejaribu kuzifungua kwa kutumia chrome ya simu, link imefunguka zivuri tu. Ubarikiwe mkuu, ngoja nizifanyie kazi kwanza.