Learn Python Web Development framework (django)

Learn Python Web Development framework (django)

Cybergates

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2016
Posts
711
Reaction score
1,508
Hello, Cybergates Hapa

watu wengi hasa wanaojifunza python programming wenyewe au online wanajua kuitumia kwenye console au compiler basi wengi wajatengeneza real project ata moja alafu wanajiita " I'm Python Programmer ". moja kati yanjia nzuri ya kujifunza python an kuepuka kuishia kwenye compiler in ku-develop real project

Kwaanzia kipindi hici nakuendelea nitakua nafundisha Django kwa kiswahili kabisa Kuanzia ku install Python, IDE(pycharm & VS code),Database na Django yenyewe

Tutaanza na instillation za software tunazoziitaji
1.Python
2.IDEs
3.Database
4.Django
5.MySQL workbench

NOTE:
Tutorials Hazita kuwa kwa Absolute Beginners, itakuitaji kujua vitu vifuatavyo ili twende pamoja wakati wa coding
Skills:
1. JavaScript
2.HTML5
3.CSS3
4.Python
5.SQL (Kwa sababu Database Tutatumia postgreSQL)

Screenshot (57).png

Screenshot (58).png

Screenshot (59).png

Screenshot (60).png

Screenshot (56).png

Screenshot (52).png

Screenshot (54).png

NB:
Video Zote Za Tutorial Zitakuwa kwenye Channel yangu ta youtube Na ni Free of Charges Cha msingi ni ku-subscribe ili kuwa alerted pindi Tutorial mpya itapopanda hewani. Bila kusahau Lugha itakua Kiswahili na baadhi ya Kiingilish kidogo.

Link Ya Chanel yangu hii (hapa - Bofya Hapa)

Screenshot (297)_LI.jpg
 
Attachments

  • Screenshot (56).png
    Screenshot (56).png
    39 KB · Views: 20
  • Screenshot (297)_LI.jpg
    Screenshot (297)_LI.jpg
    64.2 KB · Views: 25
Safi mkuu.Mara ya mwisho nikiingia Kwa channel yako sikuona kitu.
Nilipiga chini Video zote mkuu, Kipindi kile nilikua natumia microphone ya pc saivini menunua microphone, alufu pia nilikuja kujua njia nzuri ka kutoa tutorial ni kuziweka kwenye time line.

Nimeandaa notice, maswali(code qs & ans) na pia some programming exercises.

Alafu pia saivi natumia youtube thumbnail
My Post (12).jpg

Kuhusu C usijali mkuu

Tatizo Ni mda umekua mchache kwangu nakosa mda wa kurekord video
 
Mkuu Cybergates uliandaa thread nzuri sana lakini umeiacha njiani. Huu ulikuwa msaada kwa wengi sana. Yaani umenipa kazi ya kuwa kila siku naingia Youtube nakuta hakuna content, na humu pia umeacha.
Basi tusaidie ndugu zako humu twende sawa mdogo mdogo.
Pole najua ratiba zimekuwa ngumu ila jitahidi tu
 
Hongera na big up sana wewe jamaa, unachokifanya ni jambo muhimu sana, natamani hata mimi nipate muda nianze kuandaa nondo kwa vitu ambavyo navifahamu na kuvitumia, hamna haja mtu ufe na kuzikwa na haya maujuzi bila kusaidia madogo wanaopambana kuanza.
Najua ni kazi ngumu sana ukizingatia ratiba, lakini kwa uwezo wa Mungu tutafaulu, nasema big up tena.
 
MK254 Jina lako halisi unaitwa nani?
 
Hongera na big up sana wewe jamaa, unachokifanya ni jambo muhimu sana, natamani hata mimi nipate muda nianze kuandaa nondo kwa vitu ambavyo navifahamu na kuvitumia, hamna haja mtu ufe na kuzikwa na haya maujuzi bila kusaidia madogo wanaopambana kuanza.
Najua ni kazi ngumu sana ukizingatia ratiba, lakini kwa uwezo wa Mungu tutafaulu, nasema big up tena.
Haya shusha boss...tuachane na yale ya asubuhi
 
Nimemaliza basics za JavaScript. Msaada wa mawazo nifanye library au framework gani .
Sitaki kujihusisha na back-end kwa sasa.
 
Nimemaliza basics za JavaScript. Msaada wa mawazo nifanye library au framework gani .
Sitaki kujihusisha na back-end kwa sasa.

Nakushauri usome Javascript yenyewe kama ilivyo bila kuwaza mambo ya frameworks, hizo huja na kuenda.
Piga ES6 maana imeboreshwa sana, kuna baadhi ya vitu ilikua lazima tufanikishe kwa kutumia Jquery, Typescript n.k. Lakini vimeongezwa kwenye ES6.
 
Tatizo ni mda mkuu, Japo napata mda wa code tutorial project lkn kufanya recording na video editing (sina ujizi sana wa kuedi video) ndo bado sijapata mda zuri na kutulia kufanya ivyo. Pia ni kweli kama mtu unajua kitu ni bora ku share skills na wangine MK254

Hongera na big up sana wewe jamaa, unachokifanya ni jambo muhimu sana, natamani hata mimi nipate muda nianze kuandaa nondo kwa vitu ambavyo navifahamu na kuvitumia, hamna haja mtu ufe na kuzikwa na haya maujuzi bila kusaidia madogo wanaopambana kuanza.
Najua ni kazi ngumu sana ukizingatia ratiba, lakini kwa uwezo wa Mungu tutafaulu, nasema big up tena.

Thanks bro HARAKATI ZOTE

SUBSCREBED

Tatizo mda mkuu, uko mbeleni tutakuja kijifunza machine vision na OpenCV, Tensorflow na Pytorch, ML. DS sio ngumu sana @ Drone Camera

Ukifika Python ya Data Science nishtue...Sina project hata moja mm

Ushauri wa mkuu MK ni mzuri pia kama huna haja na backend pia jaribu Typescript Patiee
Nimemaliza basics za JavaScript. Msaada wa mawazo nifanye library au framework gani .
Sitaki kujihusisha na back-end kwa sasa.
 
Back
Top Bottom