Learn how to get money frm ur Man

Kwahiyo kuna watu who goes through all that trouble just to get the money, this is why I hustle a lot to have my own money.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Atoto njoo uone mtu analia huku unavyowaita wanaume mafurushi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Perimeter kumbe hilo neno huwa linawachoma enh nakazia mafurushi makubwa nyie
Nam zoom tu Atoto kwa mbali akituita mafurushi..ashawahi niita mimi Furushi walahi yule mdada namtafutia jina lake nae nimuite...

We nawe chaubishi mpenda haki endelea kuunga mkono hoja tuite tu Mafurushi,siku litazaliwa jina nakwambia ntakua wa kwanza kukutwika na nduguyo Atoto maana ndo eti hamtaki ujinga ujinga.

Saivi mi nshakubali ni Furushi..Si atoto ametaka bana sawa mi simpingi..(zamu yenu itafika tu)
 
ana roho mbaya sana huyu Dada kutuita mafurushi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Atoto njoo uyaone mafurushi yanavyoendelea kulalamika huku sijui yanataka uyabembeleze
ana roho mbaya sana huyu Dada kutuita mafurushi
 
I conquer with you Nigger!
 
Wanaume walishajifanya wao ndio wana hela wanawake hawana hela
😑 😑 😑 😑 😑 😑 😑 😑 😑 😑 😑 😑
Basi usiwe unaomba hela mkuu pambana na hali yako [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndo sasa mwanaume anayechepuka hastahili kufanyiwa hayo yaliyoongelewa kwenye mada
Mamii ukweli kabisa. Mwanaume wako akichepuka ni kwa mafanikio ya ndoa. Kwa wanawake especialy wa mijini mlivyo, haiwezekani mwanaume kuishi nanyi kama hachepuki. Watakufa na stress
 
Basi akichagua kuchepuka ndo asitake kufanyiwa hayo yaani tena kwangu ndo asahau kabisa awe anafanyiwa hayo na hiyo michepuko yake ili apunguze hizo stress zake vizuri
Mamii ukweli kabisa. Mwanaume wako akichepuka ni kwa mafanikio ya ndoa. Kwa wanawake especialy wa mijini mlivyo, haiwezekani mwanaume kuishi nanyi kama hachepuki. Watakufa na stress
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Atoto njoo uyaone mafurushi yanavyoendelea kulalamika huku sijui yanataka uyabembeleze
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mama inauma sana kuwa furushi halafu unajijua ni furushi. Inauma mnooo.

MLEVi Mmoja na Perimeter vumilieni tu au mchukue hatuaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Basi akichagua kuchepuka ndo asitake kufanyiwa hayo yaani tena kwangu ndo asahau kabisa awe anafanyiwa hayo na hiyo michepuko yake ili apunguze hizo stress zake vizuri
Works fine for him, coz let's face it, u were not going to ease the stress anyway. Kazi yako ni kuintroduce stress na kazi ya michepuko ni kuzitoa, for money ofcourse
 
Good
Works fine for him, coz let's face it, u were not going to ease the stress anyway. Kazi yako ni kuintroduce stress na kazi ya michepuko ni kuzitoa, for money ofcourse
 
mhhh, the tricks really works, we have to take care
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…