....Pamoja na usafiri wa bongo kuwa na shida ila kunawakati unakuburudisha vituko vyake na kukufanya usahau matatizo yako kidogo, saa nyingine watu wanagombania siti na kutukanana matusi juu, mara kama umesimama na mmebanana kunawanaume wanashukwa na mfadhaiko kwa kubanana na miili ya wadada na kuanza kubashia watu hovyo kila gari inapofunga breki, yaani ni full burudani hasa ukiwa wewe ulishazunguka na daladala so unacheki movie hadi unafika...........Thanks best kwa hii thread umenikumbusha mbali sana lol, ninavituko vingi sana huwa navishuhudia kwenye daladala, saa nyingine unachukia hadi unacheka kwa hasira.
Hahahaaaaa..... Jamaaani mtoa mada umenikumbusha mwaka 2009 nilikuwa natoka Arusha narudi Dar.. Bus lilipofika Tanga nikapitiwa na usingizi mzitoooo, nikashindwa kujizuia nikam egemea kaka aliyekuwa amekaa pembeni yangu...
Sasa wakati nasinzia nikahisi nimebanwa kwa nguvu sana, niliposhtuka nikakuta yule Kaka kanikumbatia kwa nguvu sana nikamwangalia usoni kwa mshangao... Akaniambia hakuna shida Dada... Wee endelea tuu kulala usijali..! Niliogopa sana na sikumlalia teeena mpaka tunafika Dar..!

Lol!..this guy was clever...manake kama wewe unaenjoy usingizi basi na yeye akajionea ainjoi kwa kukumbatia!..eti neylu ulimwambiaje baada ya kuamka?
hehehehehehehehe umenichekesha kweliii yaani hapo ulikutana na bazazi mpenda yeyote aliyembele yake lol, na kukumbatia tena daaah!!! sipati picha ulivomtolea mimacho
Kweli tembea uyaone..hii kitu wapi?...mbagala nini??
Sababu ya mdada kumlalia mkaka, inaweza kuwa kati ya sababu hizi
Unaonekana gentleman
Not necessarily hendsome, lakini una mvuto
Uko smart
Unaonekana loaded
Hata mie nakulalia, kutokea ubungo terinal hadi Stand ya Mkoa.
Luck you!
my pacha si nilikwambia!ahhahhahah pacha wangu ako loaded,ana mvuto,unyunyu toka amsterdam mchezo,af boooonge la gentleman ahahahahhahah pacha lazima nipate shangazi kupitia mlalio wa begani!Sababu ya mdada kumlalia mkaka, inaweza kuwa kati ya sababu hizi
Unaonekana gentleman
Not necessarily hendsome, lakini una mvuto
Uko smart
Unaonekana loaded
Hata mie nakulalia, kutokea ubungo terinal hadi Stand ya Mkoa.
Luck you!
Swali la kizushi kwako mtoa mada SnowBall,
kwamfano unasafiri safari ndefu tuu tuseme kutoka Dar hadi Kigoma kwa Basi, umekaa siti ya watu wawili na jirani yako ni mdada, wewe ulikata siti ya dirishani na unafika unamkuta amekaa kwenye siti yako unamueleza akupishe anakujibu kwa upole ''naomba nikae hapa samahani'' utampisha? then on the way anakwambia tena kwa upole, ''samahani kaka nasikia usingizi mzito sana naomba nilale na kichwa changu nikilaze miguuni kwako naomba nifunike na koti lako''( wewe umevaa koti la leather) utafanyaje?
hehehehe..umefikiria nini @sakapal kuniuliza hivi?...kiukweli kwa mazingira niliyo nayo sasaivi sitamkubalia alale mapajani kwangu..bila kujalisha alivyo nitasema..'no'! Kuna mazingira ukishayapa nafasi chochote kinaweza kutokea...Sana sana kama anaumwa naweza kusimama kwa muda ili nimpishe alale but sio kunilalia!!
pacha..pacha..pacha. snowhite wewe shauri yako!!my pacha si nilikwambia!ahhahhahah pacha wangu ako loaded,ana mvuto,unyunyu toka amsterdam mchezo,af boooonge la gentleman ahahahahhahah pacha lazima nipate shangazi kupitia mlalio wa begani!
ni swali la kizushi tuu my dear SnowBall, halina hata kufikirika.
Na hiyo ya kumpisha siti jee utafanyaje, wewe umekata siti ya dirishani kwa purpose yako na yeye kakaa na anakuomba akae hapo wewe ukae siti ya pembeni.........?
Hii sasa inategemea na uungwana tu..obvious sinaga guarantee na seat..popote iwe dirishani au pembeni i can stay..Na hii haijalishi mdada au mkaka..yeyote tu kati yao kama ataona dirishani ni muafaka kwake i can settle the matter!!
Hii inaweza kupelekea kuambukizana magonjwa mbali mbali vikiwemo virusi vya VVU
Hahahaaaaa..... Jamaaani mtoa mada umenikumbusha mwaka 2009 nilikuwa natoka Arusha narudi Dar.. Bus lilipofika Tanga nikapitiwa na usingizi mzitoooo, nikashindwa kujizuia nikam egemea kaka aliyekuwa amekaa pembeni yangu...
Sasa wakati nasinzia nikahisi nimebanwa kwa nguvu sana, niliposhtuka nikakuta yule Kaka kanikumbatia kwa nguvu sana nikamwangalia usoni kwa mshangao... Akaniambia hakuna shida Dada... Wee endelea tuu kulala usijali..! Niliogopa sana na sikumlalia teeena mpaka tunafika Dar..!
I can smell money from FAAAAAAAR awayUtanitambuaje kwa macho tu Kongosho ?
my pacha si nilikwambia!ahhahhahah pacha wangu ako loaded,ana mvuto,unyunyu toka amsterdam mchezo,af boooonge la gentleman ahahahahhahah pacha lazima nipate shangazi kupitia mlalio wa begani!
Swali la kizushi kwako mtoa mada SnowBall,
kwamfano unasafiri safari ndefu tuu tuseme kutoka Dar hadi Kigoma kwa Basi, umekaa siti ya watu wawili na jirani yako ni mdada, wewe ulikata siti ya dirishani na unafika unamkuta amekaa kwenye siti yako unamueleza akupishe anakujibu kwa upole ''naomba nikae hapa samahani'' utampisha? then on the way anakwambia tena kwa upole, ''samahani kaka nasikia usingizi mzito sana naomba nilale na kichwa changu nikilaze miguuni kwako naomba nifunike na koti lako''( wewe umevaa koti la leather) utafanyaje?
Ukimuangalia kwa chati huyo mdada ni mrembo na anasifa zote za mrembo kwa macho wachana na tabia na vitu vingine ambavyo itachukua wiki au mwezi kumfahamu zaidi.
my pacha wala si uchokozi mambo ya kupiga nyunyu la ukweli hivo ndo nini?af si unajua miunyunyu wa wanaume ilivo mitamu!sa piga picha iwe imetupiwa na mtoto wa kiume wa mama yangu aliyeniachia ziwa ahahahahhahahhahahha chezeya pacha wangu wewe!kazi kwao vishanshuda wanaokuzimia chini kwa chini af wanajifanya kukulalia ili ufike bei!ahahahhah we unafanya mchezo na pama hilo!:yo:pacha..pacha..pacha. snowhite wewe shauri yako!!
Nilijua tu lazima unichokoze...najuuta kukuachia nyonyo/ziwa!!
...G hawalali vizuri maana wanakesha JF mpaka majogoo yanaanza kuwika ndio wanapanda vitandani ππ