Leaders Mopao Live!

Leaders Mopao Live!

adakiss23

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
4,898
Reaction score
5,266
Nani yuko pande hizi..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Angalieni Clauds TV, Koffi live....ila kachelewa sana!! siujui kwanini!! Ushamba tu hakui!! ndiyo maana alitandikwa viboko na askari barabarani!!
 
hv huyu jamaa **** sana. Anazuia watu wasiwatunze waimbaji wake , akipewa za kitanzania hataki anataka dola.
 
hivi bado huyu tumbiri anasumbua vichwa vya watanzania
 
Back
Top Bottom