Lead ya biashara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lead ya biashara

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Pask, Jul 14, 2011.

 1. P

  Pask New Member

  #1
  Jul 14, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wana JF, kuna mdau anatafuta pili pili manga na asali mbichi kwa kiasi kikubwa, kuna yeyote mwenye aidia ya inapopatikana pamoja na bei kwa kilo, lita?
   
 2. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,165
  Likes Received: 1,169
  Trophy Points: 280
  Asali mbichi ninayo kiasi chochote utakacho, nipe bei yako unayonunulia thru pm au 0786320352.
   
 3. Ericus Kimasha

  Ericus Kimasha Verified User

  #3
  Jul 16, 2011
  Joined: Oct 27, 2006
  Messages: 488
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 60
  Ninaweza,Haiyumkini asali uliyonayo ya kutosha order yoyote si hii inayolinwa Tanzania! Maana ya Tz kwa sasa ukiombwa ukusanye walau tani tano kuzipata ni taabu. Kwa kumsaidia awasiliane na National Beekeeping Supplies Ltd kupitia guru wa asali na nyuki 0754678066/0788326309
   
Loading...