Lead Generator-NBC

Lead Generator-NBC

igelango

New Member
Joined
Dec 6, 2013
Posts
4
Reaction score
0
Jamani wadau mwenye habari kuhusu ile written enterview tulofanya jumanne pale NBC Makao makuu ya lead generator atujuze kama matokeo yametoka na kama watu wameitwa tayar maana apa pressure tu.

Msaada tafadhal.
 
heee!!!mkuu mbona kuna nafasi nyingine 25 walitangaza tarehe 26.1. na deadline ni tarehe 5.2???? hii inakuwaje au magumashi tayari!!!
 
ya nikwel ilikuwa deadline tarehe tano lkn wale wa mwanzo walishaitwa nakufanya enterview tayar
 
Mi niliona kwenye tangazo lao wameandika tu minimum qualification ni diploma hawakusema ni ya nini.

Hazina hata proffessional hata form 4 leaver anaweza fanya coz ni kazi ys kuzunguka kutafuta wateja wa loan na wa accounts wamewwka hiyo dip ili tu watu wasije idharau
 
Back
Top Bottom