1. FIELDS OF GREEN
ni aina tofauti tofauti ya mbogamboga za majani ambazo zitasaidia kubalance kiwango cha sukari,kujenga damu, na kusaidia pia kwa wale wenye shida ya kutopata choo kwa urahisi kipindi cha ujauzito au wakati wa kawaida.
2. ARCTIC SEA
Ni mchanganyiko wa mafuta ya samaki na mafuta ya mzaituni (olive oil)
Husaidia sana katika ukuaji wa ubongo wa mtoto mdogo akiwa tumboni mwa mama, kupunguza mafuta Mabaya(cholesterol), nzuri kwa macho, viungo na ngozi pia.
3. ABSORBENT C
Hii ni vitamin C ambayo inasaidia katika kulisha ngozi ya mama na mtoto, pia kuongeza kinga ya mama. Ni vitamu kama Pipi
4. FORVER B12
Hii bidhaa ni mchanganyiko wa Vitamin b12 na Folic Acid ambazo ni nzuri katika kuongeza damu na kusupport formation ya utility wa mgongo wa mtoto na ukosefu husababisha mtoto azaliwe na mgongo wazi au spina bifida (akikua kushindwa kukaa) kukatika nywele, constipation, loss of appetite, kupungua damu na nk, so ni muhimu sana hii.
5. CALCIUM
Ni muhimu sana katika Kuzalisha calcium inayojenga mifupa ya mtoto na ambayo mama akikosa mwili huchuchua kwenye mifupa na meno ya mama kufanya viwe week.
NI MUHIKU ZITUMIKE MIEZI 3 KABLA NA WAKATI WOTE WA UJAUZITO.
Kupata bidhaa hizi contact +255 677 368 220