OK SPEOPLE SASA TUMEKUWA:-
1. MJUMBE WA WAZAZI MKOA: MJUMBE WA WILAYA CCM; KATIBU MWENEZI WA WAZAZI KIVUKONI; KATIBU WA FEDHA; ELIMU; UCHUMI NA MAZINGARA WA KATA YA KIVUKONI; PAMOJA NA MJUMBE WA KAMATI YA SIASA KATA KIVUKONI; MUNGU AWABARIKI WANANCHI WA KATA YA KIVUKONI KWA KUNIAMINI NA PIA WANA-JF KWA KUNIOMBEA SANA MAANA BILA HIVYO INGAKUWA NOMA SANA!!
2. JUST FOR THE RECORD: KATA YA KIVUKONI NI KATA NUMBER ONE NCHINI; CAUSE WAKUU WOTE WA TAIFA WA ZAMANI NA WA SASA WANATOKEA HUKU; INAJUMUISHA MATAWI YA OCEAN ROAD; PAMBA ROAD; UPANGA; SEAVIEW NA MAGOGONI SO UNDERSTAND THAT NA HASA WA MAJUKUMU YANGU MAPYA YOU KNOW! HA! HA! HA! HA! I MEAN THIS IS WASAP!!
- HOWEVER: PIA NAOMBA KUWAOMBA RADHI KWAMBA KUTOKANA NA KUKABIDHIWA MAJUKUMU MAPYA MAZITO SANA YA KUWAONGOZA NA KUWAWAKILISHA WANANCHI, SASA MUDA UMEPUNGUA SANA NA UTAKUWA HAUTOSHI TENA KAMA ZAMANI NILIPOKUWA SINA MAJUKUMU WA KISIASA KAMA HAYA MAPYA!! SO NAOMBA TENA KUWAOMBA RADHI KWAMBA SITAPATIKANA TENA HUKU KAMA ZAMANI; LAKINI UNAWEZA KUNIPATA FACEBOOK NA KWENYE MY LE MUTUZ SUPER BLOG AT Le Mutuz Super Blog IF YOU KNOW WHAT I MEAN YOU KNOW!
- I MEAN SAFARI NDIO HII IMEWIVA; HATUANGALII NYUMA TENA TUNAENDA KWA MBELE TUU, KWENYE MAISHA KUNA WAPIGA KELELE KWENYE MITANDAO: KUNA WASHANGILIAJI: KUNA WASINDIKIZAJI: KUNA WAPIGA DOMO TU!!: KUNA WAPIGA MAJUNGU TU: NA KUNA WAFANYISHAJI WA UKWELI KAMA MIMI TUMEPIGA KELELE KWA NJE YA KUTOSHA SASA TUMEAMUA KUINGIA HUKO HUKO NDANI KUBADILI MAMBO SIO KULIA LIA TU KWA NJE MIAKA NENDA MIAKA RUDI; DAWA NI KUINGIA HUKO HUKO KWA NDAAAA!!
- LEO UWANJA WA TAIFA KWENYE VYUMBA VYA KUVALIA WABUNGE WA SIMBA NA YANGA I HAD A GREAT AND VERY USEFUL TIME NA WABUNGE VICHWA WA CHADEMA: THE GREAT ZITTO; SUPER NASSARI: NA SUPER MSIGWA; MY BABIES KIWELU NA HALIMA MDEE: I AM HUMBLED SANA NA UWEZO WAO MKUBWA SANA WA KUFIKIRI NA I LOVE THEM ALL NI SUPER WATUPU!! PIA HAD A WONDERFULL TIME KULE VIP NA MABEBS THE LIKES OF SUPER WEMA SEPETU, WOLPER NA MY BABY SINTAH JLO!! YAANI IT WAS WASAP TUPU!
RESPECT MUCH NA PEACE MA PEOPLE!! NA KWAHERI YA KUONANA TENA!!
LE BIG SHOW SUPER MUTUZ BAHARIA!!!
sijui utakuwa na ubongo kufanya kazi kama mwanamume lini ukitaka siasa acha uchizi huu sidhani kama umeoa na kama umeoa ni hasara kwa mkeo na hata ukioa bado una safari ndefu ya kuwaongoza watu unaonesha jinsi ambavyo hujakomaa kuingia kwenye siasa kwa nini usiwe jaji wa miss tanzania?QUOTE=W. J. Malecela;4202293]
Acha kuwandanganya watu wewe WAKUJA. HUNA SERA ULIVYO AMBULIA NI KWA UPANDE WA WAZAZI
1. Mjumbe wa wazazi mkoa
2. Mjumbe wa wilaya CCM based on the above position (Tena mko Kumi)
3. Katibu wa Elimu na Mazingira wa kata ya kivukoni Wazazi (Umepata purely on the basis hakuna mgombea mwingine aliyetokea)
4.Uchaguzi wa Kamati ya Siasa Kata ya Kivukoni (HAUJAFANYIKA)
Kwenye RED: Hivi wewe mtu una akili sawa sawa kweli? Nini hicho unachoandika?
umehangaika weee!all way from new York tulifikiri unakuja na ma idea kibao ya kumkomboa mtanzania,kumbe weeee hamna kitu kweli mbongo ni mbongo ndio maana wakenya wanatuita chips mayai,,,,mkuu utapata ma prayer kibao,never mind bror,
​nina wasiwasi kama sio shoga huyu mtu aliyewahi kuishi new york kubabaikia uwanja wa taifa madisco ya tz ni upungufu mkubwa wa kimawazo na hapa naona kuwa ni haki kutokea kwenye familia ya matonya ni sawa kabisa kitwa ombaomba nyie
Umeona eeh! hi njemba kwa kweli inatia aibu. Huu utaahira anaoufanya sijui kwanini walio karibu naye hawaukemei.
[/QUOTE]sijui utakuwa na ubongo kufanya kazi kama mwanamume lini ukitaka siasa acha uchizi huu sidhani kama umeoa na kama umeoa ni hasara kwa mkeo na hata ukioa bado una safari ndefu ya kuwaongoza watu unaonesha jinsi ambavyo hujakomaa kuingia kwenye siasa kwa nini usiwe jaji wa miss tanzania?QUOTE=W. J. Malecela;4202293]
Nguruvi3,
Inabidi umpe darsa Le Mutuz ni lazima abadilike aonge kama mwanasiasa hizi lugha za mtaani aachane nazo;lingine mshauri asipende sana kuianika life style yake hadharani vitu hivyo vinachangia sana kuwaangusha wanasiasa; badala yakuona picha zake akiwa kwenye kumbi za madisko na warembo ni vyema kwa sasa abadilike tuone picha akiwa kwenye mambo yanayoigusa jamii zaidi kama kusafisha mifereji; kutembelea miradi ya kilimo; mahospitalini kwenye wadi za akina mama na shughuli nyinginzezo zenye tija kwa ujenzi wa taifa letu.
Chama
Gongo la mboto DSM
sijui utakuwa na ubongo kufanya kazi kama mwanamume lini ukitaka siasa acha uchizi huu sidhani kama umeoa na kama umeoa ni hasara kwa mkeo na hata ukioa bado una safari ndefu ya kuwaongoza watu unaonesha jinsi ambavyo hujakomaa kuingia kwenye siasa kwa nini usiwe jaji wa miss tanzania?QUOTE=W. J. Malecela;4202293]
Acha kuwandanganya watu wewe WAKUJA. HUNA SERA ULIVYO AMBULIA NI KWA UPANDE WA WAZAZI
1. Mjumbe wa wazazi mkoa
2. Mjumbe wa wilaya CCM based on the above position (Tena mko Kumi)
3. Katibu wa Elimu na Mazingira wa kata ya kivukoni Wazazi (Umepata purely on the basis hakuna mgombea mwingine aliyetokea)
4.Uchaguzi wa Kamati ya Siasa Kata ya Kivukoni (HAUJAFANYIKA)
Napata wasi wasi na uwezo wa kufikiri wa huyu ndugu Malecela!!!. Sijui na sidhani kama ana uwezo hata wa kuvaa chupi kwa kweli. Thread gani mbovu namna hiyo aliyoiandika!!! Le Mutuz...How? Why? Hufai kuwa kiongozi kabisa.