Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Status
Not open for further replies.
Babu una stress, asubuhi asubuhi yote unajianzishia Uzi...ndo tabu ya kutokuwa na mke umri huo, bibi angekuwepo angekuwa anakukanda huo mtumbo Saa hizi......wala usingewaza kudamkia Jf....

Ila babu shikamoo, naomba mia basiii....

Yaani wewe ndio umemuongezea stress babu...... Muzeee ya Mabebz...... teh teh..... Kwa umri wake anahitaji wataalam.... Psychologists walio bobea....
 
Hahahhh le mutuz ndio King wenu nyie wngne mna act tuu!! Halla to youuuu

le mutuzz mtu wa mabebezz
 
Nilijua kuna deal kasaini kama ile ya kidoti kumbe maneno matupu kipi kipya alichofanya kwenye hii habari yako.
 
- Hahahahahaahahhaa this is wasap U know hahahaha duh I am humbled na another thread kila siku average two threads Le Mutuz Nation thank you mamen umetisha U know!!

Le Mutuz

It's official.

You are the King of JF Celebrity forum.

Without a thread talking about you a day is not complete.

Many people are obsessed with you and they don't even know it.
 
Habari wadau nimekuwa,nikifwalitia mijadala mingi inayohusu maisha ya huyu babu .Nimegundua hata wale haters wake hujikuta wakitumia swaga za huyu babu.mfano maneno yanayotumika sana IG na hapa JF kama lekopozz,letamkozz ,u know ,le mburulazzz. Namegine hata wale wanao machukia huanza kuyatumia maneno hayo ya wanaye mwita mjinga sasa hiyo ni ishara ya kumkubali huyu jamaa. Nawasilisha
 
Kuna tangazo nililliona Lemutuz anatafuta wafanyakazi watano kwa ajili ya kufanya kazi kwenye blog yake. Ndo nyinyi mmeshapatikana tiyari???
 
Kuna tangazo nililliona Lemutuz anatafuta wafanyakazi watano kwa ajili ya kufanya kazi kwenye blog yake. Ndo nyinyi mmeshapatikana tiyari???

Ndio tatizo lenu ninyi kila anayemkubali mtu fulani huzani analipwa sasa wewe unazani le mutuz anaweza kuniajiri mimi ? Kwanini hampendi kukubali ukweli ulio wazi..

.
 
hahahahaaaaaaaaa
ongea nao kwa kweli
ntashukuru sana
yani sasa hv le copozz ananifurahisha swaga zake kwa kweli

Hahahahaaaa geniveros umenichekesha sana,bado hujachelewa u know...
Kumchukia Le Kopoz ni ujinga tu,nafurahi kila siku nikimsoma.
 
Last edited by a moderator:
It's official.

You are the King of JF Celebrity forum.

Without a thread talking about you a day is not complete.

Many people are obsessed with you and they don't even know it.
Le Big Show at the Nyama choma live downtown Jamhuri Street




- Yaaap leo nilikuwa nimealikwa na majirani wa mtaa niliohamia downtown Bongo Jamhuri Street, ilikuwa nyama choma rasmi ya kunikaribisha iliyotayarishwa na baadhi ya majirani zangu kama unavyoona pichani so ndio maana sikuwepo hapa U know I am humbled kupewa heshima kubwa kama hii maana sidhani kama kila mgeni anayehamia mtaa huu huwa anafanyiwa hivi, wamesema Le Mutuz ni jina kubwa sana kuwepo mtaani kwao the are proud of me so here I am!1

Le Mutuz
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom