Le band kutoka 254 Kenya wamerelease ngoma yao mpya inayokwenda kwa jina la "Number 1" na kumshirikisha msanii Suzziah. Ni bonge la ngoma lenye kichupa kikali, melody imesimama na ujumbe mzuri hasa kwa wale wapendanao. Enjoy it then drop your comments!!!