Uliza_Bei
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 3,216
- 989
Wataalam wa haya mambo leteni maneno hapa kuelimisha wana JF. Nimenunua TV aina ya PLASMA Samsung lakini nilipokuwa najaribu google...wataalam wengi wanasema kimsingi TV zinatumia LCD na kikubwa ni kuboreshwa kwa Crystals na siyo zaidi ya hapo bali ni kutafuta pesa kwa kupendelea zaidi kuzipa price kubwa LED na PLASMA ambazo kimsingi zimeongezewa lights ili kuweka madoido wakati wa kuangalia picha. Karibu tujadiliane