Lcd, led, plasma tv

Uliza_Bei

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
3,216
988
Wataalam wa haya mambo leteni maneno hapa kuelimisha wana JF. Nimenunua TV aina ya PLASMA Samsung lakini nilipokuwa najaribu google...wataalam wengi wanasema kimsingi TV zinatumia LCD na kikubwa ni kuboreshwa kwa Crystals na siyo zaidi ya hapo bali ni kutafuta pesa kwa kupendelea zaidi kuzipa price kubwa LED na PLASMA ambazo kimsingi zimeongezewa lights ili kuweka madoido wakati wa kuangalia picha. Karibu tujadiliane

samsung-series-5-la32c530-plasma-tv-price
 
Mkuu nadhani evolution ya TV imeanzia mbali kidogo...
CRT --> PLASMA --> LCD --> LED
Mabadiliko hayo yamechochewa na evolution ya teknolojia ya multimedia, kutoka analojia kwenda digitali....vilevile kupunguza vitu kama ukubwa n.k
Binafsi kama ukiniuliza katika minajili ya energy saving i will definately go for LCD or LED...
Ila kama ukiniuliza muonekano mzuri wa taswira basi binafsi naona chogo(CRT) na plasma zipo juu kimtindo...
 
yap hamna kitu duniani kinaitwa tv za led, bali huwa ni lcd zenye crystal au mwanga(backlight ya led), na zinatumia umeme mdogo,,, zote zina quality almost sawa ingawa size inmata saana,, kama tv ni nchi 4o na kupungua bora ukanunua lcd, kama ni zaidi ya hapo chukua plasma, plasma ziko more clear zaidi ya lcd na hazina mnato na zina fast responce mfano ukibalidi channel(hapa lcd huwa ziko slow kidogo).. plasma hazina kivuli cha pembeni ambacho huwa kinaonekan ukiwasha tv, so kama ni size kubwa go for plasma, kama ni ndogo dont incur much cost just buy lcd
 
Not energy saving only but quality picture from 720pixel to 1080pixel
 
yap hamna kitu duniani kinaitwa tv za led, bali huwa ni lcd zenye crystal au mwanga(backlight ya led), na zinatumia umeme mdogo,,, zote zina quality almost sawa ingawa size inmata saana,, kama tv ni nchi 4o na kupungua bora ukanunua lcd, kama ni zaidi ya hapo chukua plasma, plasma ziko more clear zaidi ya lcd na hazina mnato na zina fast responce mfano ukibalidi channel(hapa lcd huwa ziko slow kidogo).. plasma hazina kivuli cha pembeni ambacho huwa kinaonekan ukiwasha tv, so kama ni size kubwa go for plasma, kama ni ndogo dont incur much cost just buy lcd

Mkuu do you know what is MHZ...?
Ishu ni kwamba aina zote hizo ulizotaja zinapishana the higher the MHZ the higher the speed.
 
I cnt beliv it, LED is better than Plasma how why who what.... You know interms of Energy saving nd stuff yeah i agree but ukiachana na hilo(well assume umeiba umeme ;)) and its all abt picture quality Plasma hakuna ya kufikia asee esp TV inavokua kubwa
 
Mkuu do you know what is MHZ...?
Ishu ni kwamba aina zote hizo ulizotaja zinapishana the higher the MHZ the higher the speed.

MHZ ni kama frequence ya kubadili picha kwenye screen,, au screen refresh, kama unatumia laptop ambazo huwa ni lcd ukijaribu ku refresh huwa kama ina blink(kama mwanga unazima na kuwaka kwa haraka saana),, LCD screen ndo zenye tabia hii, plasma hazina hii kitu,,

note:: kama unaangalia tv kwenye giza na ukabadili channel hii effect utaiona na siyo nzuri kwa afya ya macho (though ni negligible effect), under this category plasma beats lcd tv hata kama ina led(light emitting diodes) support.
good tym kama vipi!!
 
Screen oversize plasma is better, saizi ndogo na kati LED safi, lcd was, namaanisha ni tech ilopita, kikubwa ndg yangu ni INPUT tu, weka chenga zako za Tz kwa antena ya chadema uone kitakachotokea hy led ama plasma yako af uweke dstv kwenye tube unipe majibu
 
Mkuu do you know what is MHZ...?
Ishu ni kwamba aina zote hizo ulizotaja zinapishana the higher the MHZ the higher the speed.

Mkuu mbona unatuchanganya hapo! Speed za kwenda wapi tena?

Answer

MHZ ni kama frequence ya kubadili picha kwenye screen,, au screen refresh, kama unatumia laptop ambazo huwa ni lcd ukijaribu ku refresh huwa kama ina blink(kama mwanga unazima na kuwaka kwa haraka saana),, LCD screen ndo zenye tabia hii, plasma hazina hii kitu,,

note:: kama unaangalia tv kwenye giza na ukabadili channel hii effect utaiona na siyo nzuri kwa afya ya macho (though ni negligible effect), under this category plasma beats lcd tv hata kama ina led(light emitting diodes) support.
good tym kama vipi!!
 
Wakuu mnaweza kutuwekea picha ili tuweze kutofautisha kati ya hizo LCD, LED na PLASMA? nashindwa kutoutisha kati ya moja na nyingine
 
Wakuu mnaweza kutuwekea picha ili tuweze kutofautisha kati ya hizo LCD, LED na PLASMA? nashindwa kutoutisha kati ya moja na nyingine

Mkuu kitechnolojia LCD na LED Screens/display zote ni LCD tofauti zake zinatokana na mbinu zinazo tumika kwenye back-light: Utakuta LCD inatumia taa za florescent kwenye back-light wakati LED inatumia DIODES zinazo toa mwanga kama backlight, Swali ni je, hizi tofauti kuhusu back lighting zina athili vipi picha? Jubi ni kama ifuatavyo:

  • Tuanze na TV za LCD yenye florescent back-light
Ukiangalia kwa umakini TV ambazo zinazotumia Frorescent utaona kwenye scene nyeusi picha haionyeshi weuzi tii kuna mwanga afifu unaoneka na kama screen picha ikitoweka ghafla badala ya kuona rangi nyeusi utaona bado kuna mwanga kwa mbali gani? Kwa hiyo Screen za aina hii zina ratio ndogo unapojaribu kurekebisha contrast (mwonekano alisi wa picha) vile vile kama nilivyo sema hapo juu ni vigumu kuona sehemu zenye rangi nyeusi kama ni nyeusi kikweli kweli hii itatokana na frorescent lights kushindwa kuzimika kikamilifu kwenye scene zenye rangi nyeusi.

  • TV za LED
Kama nilivyo sema hapo mwanzo, TV hizi nazo ni LCD isipokuwa zinatumia LED kwenye backlight, na kitekinolojia ni rahisi kuzima Light Emitting Diodes kuliko frorescent ambazo huwa na kawaida ya kuchukua muda mrefu mwanga wake ku-decay. Hivyo utakuta TV zenye LEDs picha zake zinaonekana vizuri zaidi na hakuna mambo ya colour breeding, penye weusi panaonekana ni peusi kweli kwa kuwa diode huwa zinazimika kikamilifu, vile vile diode zinakula umeme mdogo sana unlike Frorescent lights, si hilo tu hata unene wa TV unakuwa mwembamba sana kutokana na diodes kutengenezwa kilaisi ukitumia tekinologia ya VLSI. Screen hizi huwa zina tatizo kidogo katika ku-diplay a very fast moving scenes, picha inaweza wakati mwingine kuonekana hiko brurred; all in all TV zenye LED ni nzuri sana katika kuonyesha picha na kutumia umeme mdogo.

  • Plasma TV.
Tv hizi zinatumia cells zilizojazwa na na gas zilizochanganywa na madini tofauti kwa ajili ya kutoa picha zinapo pitiswa umeme, na hazina mambo ya kuwekewa backlight zinajitoshereza zenyenya kama zilivyo CRT, TV hizi zinatoa picha nzuri sana zinaweza kushindana na CRT katiak mambo ya contrast, saturation nk. Vile vile unaweza kuangalia picha hata ukiwa (degree)nyuzi 178 kitu ambacho si LCD wala LED zinaweza kufanikisha feat kama hiyo, si hilo tu bali Plasma TV vile vile zinaweza kuonyesha picha zenye scene ambazo zinakwenda kwa mwendo wa kasi kama michezo nk. Tatizo ya TV hizi ni kuhungua baadhi ya picture elements(cells) zake hivyo kusababisha picha zisionekane vizuri tatizo hilo wanalifanyia KAZI, vile vile zinakula umeme kuliko LCD/LED. At the end of the day chaguo ni lako, hapa tunatoa maoni tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom