Lazima uwe mume -----..

Siku wakisema kuna uwezekano wa kuwaona wana JF, sintalala mpaka nimwone Lara 1!
 
Yani upo sawa kabisa scorpion ndivyo tulivyo mwaya hujakosea ningekua nakuona lara ningekupa mkono sisi ni wavumilivu mno ila siku yakituchosha pana chimbika bila jembe mm ni nov

Hebu niambie you scorpion girl, kama couple ni scorpion wote inakuwaje hapo?
 
Last edited by a moderator:
Hapo kwenye old traford ya seremala namkatia rufaa Lara1. Yupo smart upstairs na downstairs pia!!! Msiniulize nimejuaje,bali napinga Lara1 kuitwa maamuma bin gogo!!!!!
 
Hahahaaaaaaaaaaaaaa! WE WAZA UWAZAVYO HUNIONGEZEI KITU WALA HUPUNGUZI KITU MAISHANI MWANGU! YAANI KIFUPI YOU ARE A NOBODY!!!!!!! Upo hapo!
hahaaaaaahaaaa, wacha bana, ndo unaendeleza maneno kama ulivyosema.... Haya weka lingine, maana la kwanza ni NO BODY, enhee la pili je ...jee??
Ila unanishangaza kitu kimoja, kwa nini unafanya mambo ya zamani? Hayo matusi yotee ya zamani, weka mapya dada yangu, mbona we wa kisasa? Kwa nini na matusi nayo yasiwe ya kisasa? Do not let me down bana.... tehe ....tehe..... hilo liemshazoeleka.
 

Ulishawahi kuishi naye au kwa maneno ya JF?

Misimamo ya mwanamke JF sio ndio mtindo wake wa maisha huko alikoolewa.
 
Lara1,hamna wa hivyo ndio wazuri kuoa coz anatoa nae mawazo yake Kama mchango wake kwenye familia.lakini baba Kama baba unaweza kuyachukua AMA kuyakataa kulingana na unyeti aw jambo husika,mambo yakiharibika wa kuulizwa ni wewe,Kama hakuna msosi wala Ada za watoto ni wewe,nyumba mbovu ni wewe watoto watakuuliza baba jenga nyumba nzuri.nakushauri ruhusu ushauri aw mama utafanikiwa.
 
Ulishawahi kuishi naye au kwa maneno ya JF?

Misimamo ya mwanamke JF sio ndio mtindo wake wa maisha huko alikoolewa.
kwa maneno yake ya Jf mkuu.Hata kama in real life hayupo hivyo ila tayari tumeweza kugundua aina ya wanawake wa sampuli yake na ndio msingi wa mada sio personal attack.
 

Hahahahahaaaaaaaa, Lala 1 naomba nikuwowe mimi mrembo, uwe my beautiful wife wangu, make kwenye red pamenivutia! Nataka nimtoe mchaga kwenye nafai yake! Ngoja kwanza nikuzamie PM!
 
Last edited by a moderator:

Nilitaka kufahamu tu, kwa sababu mimi najua wewe bado ni bikra kama ulivyosema hapo awali. Au kuna masahibu yalikukumba hapo katikati? Nipe updates maana memory yangu huwa haifuti unless ni-replace na updates.
 

Nilitaka kufahamu tu, kwa sababu mimi najua wewe bado ni bikra kama ulivyosema hapo awali. Au kuna masahibu yalikukumba hapo katikati? Nipe updates maana memory yangu huwa haifuti unless ni-replace na updates.


Bikra mkuu siku hizi ni LACK OF OPPORTUNITY!!!!! (Jamani jamni watoto mnachungulia humu haya ni maneno ya mkosaji mimi dada yenu! Jitunzeni hadi muolewe!) With INFIDELITY rates zilivoongezeka siku hizi you must be prepared and experienced if you intend to keep your man for your self!!!!
 
Mwaya Lara1 dont give it a shit. Just be you. I really admire your truthfull posts, though a times a bit hard to swallow. Tabu yetu tunapenda ngozi za kondoo, tuonenake wemaaaa wakati kimoyomoyo weeee only God Knows (ndio maana sala ya kutubu tunatubu kwa mawazo, kwa maneno na kwa matendo...yani in ascending order kwa mawazo comes first!!). Na men like YES women .
Aint it brainer to challenge the status quo and face life as it is. Call a spade a spade , give credit where its due and take no shit. Life is too short honey to die with stress and regrets which many people do (living kwa kuseme NINGE..., ) duniani bwana when you are single people ask you why, when you marry they ask when will you have kids, when you are fighting they ask why arent u separated , when you divorce they ask why, when you remarry they ask why so fast. Never will there be a time you are OK. SO the best is to be the best you can and NOW , there has never been tomorow....dance, love, live life to the full..kabla hujaregret. Kisa cha kujitia misifa ooh nimewahi kuolewa, huku moyoni umejaa gubu na maisha. Loh play ur cards well mamy.
 
I was born on late October!!!!!! I am a scorpion girl!

Scorpion nouma...Nilishadate ma ng'e kama wanne hivi huko zamani....

But one common thing in them.."they are true lovers"
 
Kuna vilegezi siku hizi.Msimamo mkali?atapata mkao mpole...ukijiona unamshindwa wa namna hiyo basi u 'mume' wako hauko kamili.Mume ni kama meli,kuwa tayari kwa dhoruba yoyote...
 

Thubutuuuuuu! Chezea vidume wewe. Ukimkataa huyu utamkaubali yule huwezi kuwakataa wanaume wote labda uwe na kasoro. na kutongozwa ni moja ya chalenge kubwa sana kwa mwanamke si lazima umkubali kila mwanamme. Au unataka kutuambia bado iko sildi na karatasi lake?
 
Dawa yake kuolewa na mkurya tu, akipigwa mapanga mara mbili atakuwa mpole tu
 
Kidume kilichoandika Uzi huu mm mwenyewe nimeckitika, Yaani Wewe kbs MWANAUME unaVICHWA viwili ukubali kuwa -----, kweli nimeamini MAZOBA a.k.a MAZED CYOOOOO a.k.a MAZEBEDAYO bdo yanazidi kuzaliwa MJINI aya Bhana..ila mm hata Mara1 cwezi kuwa Mnyonge Kwa kiumbe Kinachoitwa MWANAMKE hata kama ANAJUA KARATE na Kasoma Mpk kakutana Na Kibao Kimeandikwa STOP au Hata Kama AnaHELA Kuliko wote Duniani, Akija Kwangu Kitombo Cha uhakika na RESPECT anaweka Na anakuwa Mnyonge KWangu, au hujui Mbinu za Kuwadhibiti WNAWAKE kama hao unaowasema! ni DM nitakufundisha Bwana Mdogo twende kazi . :target:
 

Nipe namba ya lara 1 nimnyooshe... ntakuja kukwambia...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…