twende kazi
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,520
- 461
- Thread starter
-
- #101
Mkuu ila lazima akuchoshe tu yaani kazini mihoja nyumbani mihoja mwanamke shurti atii bwana hata kama kidume umekosea anakuwa mpole mambo ya hoja baadae sana.huyu yuko poa kabisa anahitaji hoja zenye nguvu tu
sasa ukiwa nae ndani kama hoja zako zimelala
lazima ashike usukani
Mkuu ila lazima akuchoshe tu yaani kazini mihoja nyumbani mihoja mwanamke shurti atii bwana hata kama kidume umekosea anakuwa mpole mambo ya hoja baadae sana.
ahahahah..live live mkuu..hahahaha mkuu kwani hujaona akina mama majaji au mapolisi au walimu wakuu au mjeshi na wanakuwa wanoko balaa kwa mmewe anakuwa zezeta na kama kichapo anachezea kama kawa na manundu juu
ahahahah..live live mkuu..
lara 1 anaigiza humu tu,akikutana na jamaa yake ni mnyonge kupitiliza.Huwezi kuamini ukimwona...mnyongeeeee
hahahaha mkuu kwani hujaona akina mama majaji au mapolisi au walimu wakuu au mjeshi na wanakuwa wanoko balaa kwa mmewe anakuwa zezeta na kama kichapo anachezea kama kawa na manundu juu
Kama Spika au?? Maana mi najua type hizo wengi wana watoto bila waume
hao watoto wamewapata kama bikira Maria? Si walivua kwa ridhaa yao!
Walivua ndio lakin mi naongelea wale wanaoishi na waume zao kwa status hizo ulizosema. Na kuvua wala sio kuolewa.
ahahahahahahwanaume huwa hatupendi kuoa mwanamke mwenye mdomo mrefu kila kitu pye pye pye hawa wanaishia kufanyiwa mazoezi tu
Salaam wadau,
Sio siri kama mwanaume unajikuta unataka kuoa halafu unakutana na mwanamke kama Lara1 ili uishi nae muda mrefu lazima ukubali kuwa mume bweg- tu.Huyu dada ni mtata aisee ni mwenye misimamo isiyoyumba, kwa sisi wanaume wa kiafrika tuliozoea mfumo dume kidogo kwa wanawake wa type iyo ni kaazi kweli kweli.
kwani mwanamke aliyezaliwa september ana character zakumfanya awe good wife!You mean
@lara1? She is good critical figure. She is good wife. May be she was
born on September
Na ndo wanawake karibu wote walivyo, ugomvi wao ni kwa maneno. Utampa neno moja yeye keshateleza kumi. Lakini kwako is more than that. WE MKOROFI BANA UNABISHA NINI..???Hahahaaaaaa! Mi ugomvi wangu ni wa kutumia kaili zaidi si muscles!!!!!!!! Ujue mimi NACHOKITAKA MIMI KUKIFANIKISHA I HAVE TO MAKE IT HAPPEN!!!!!!1 NO MATTER WHAT!!!!!!! Sasa mda mwengine ili ufanikishe ukitakacho inabidi Amani ipotee! So be it!!!!!!! Ila jambo langu kusimaa No!!!!!
Sasa my weakness nakuwa nimejiandaa na obstacles kukabiliana nazo, bt nikikuta tambarare, watu so supportive yaani naanza kufeel guilty kama im taking advantage of them!
Acha ushambaaaa! Sema tulipeana raha sio waligonga!!!! Sex ni haki yenu wanaume sio privillage au honour!!!!! CHILL OUT ITS JUST SEX!!!!!!!
Na ndo wanawake karibu wote walivyo, ugomvi wao ni kwa maneno. Utampa neno moja yeye keshateleza kumi. Lakini kwako is more than that. WE MKOROFI BANA UNABISHA NINI..???
ahahahah..sio kweli mkuu,lara1 embu mwambie jamaa afute iyo statement.kwasababu umemtongoza kakukataa ndo unasema mtata
kwani mwanamke aliyezaliwa september ana character zakumfanya awe good wife!
wanaume huwa hatupendi kuoa mwanamke mwenye mdomo mrefu kila kitu pye pye pye hawa wanaishia kufanyiwa mazoezi tu