The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 10,965
- 13,434
Salaam wadau,
Sio siri kama mwanaume unajikuta unataka kuoa halafu unakutana na mwanamke kama Lara1 ili uishi nae muda mrefu lazima ukubali kuwa mume ----- tu.Huyu dada ni mtata aisee ni mwenye misimamo isiyoyumba, kwa sisi wanaume wa kiafrika tuliozoea mfumo dume kidogo kwa wanawake wa type iyo ni kaazi kweli kweli.
Jamani mbona lara 1 alikuwa x gf wangu wakati tupo secondary na yupo kawaida tu?tatizo lake ni kununa tu akikerwa
father umekurupuka,ni wapi nimesema wengine hawana mfumo dume?nimezungumzia only waafrika sababu wananihusu(am an african).Acha uongo wewe. Waliozoea mfumo dume ni dunia nzima siyo waafrika. Jaribu kufanya utafiti kabla ya kuja na hitimisho la jumla. Anyways, najaribu kufundisha wanangu kufikiri kisomi na siyo kirejareja.
Hahahaaaaaa! I CANT BELIEVE UMENIANZISHIA THREAD!!!!!!!!!! You are Bananas!!!!!!!!!
Anyway mimi sio matata wala nini sema sipendi Kutokuwa na Msimamo, au Kuonewa! Mimi si Mchokozi asilani ila ukinianza lazima ni set example ili wengine wasinichukulie poa! Ukiniona Mpoleeee! Mkimya sina neno na mtu! NEBEEP SASA ndo utakaponipata KIDIGITALIII!!!!!!!!
Otherwise hata humu ndani hata siku moja huwezi kuta nimeingia thread ya mtu na kuanza kusema mbovu au kuponda! NEVERRRRRRRRRR!!!!!!! Kama vimeniboa natoka kimyakimya! I respect freedom of speech ya kila mtu! Na narespect conglomerate ya kila mtu!!!!!!!!
Na kwenye suala la wanaume nikiwa na uhusiano na mtu lazima awe najielewa! Sina roho ya kuvumilia upuuzi, kusamehe ujinga au kubembeleza bembeleza ufyorooo! Kama hatusomani baaaaaaaaaaaass! Kuna watu zaidi ya Billion duniani stress za nini? Plus Napenda free riding sanaaa! Ofcourse sometimes inakuwa kukosa ustahimilivu n all that ila bana IT JUST ISNT IN ME!!!!!!!! Huwezi nikuta Victm wa mtu katuuuu!!!!!!!!!
Pia sipendi mtu aniogope au awe mtumwa wangu, Nooooooooo! Hapa ni freedom tu! Afanye atakacho ila awe na grounds zenye logic! Na awe na msimamo na anajiongoza manake mimi naweza kujiongoza mwenyewe tu! Akinitegemea Jahazi litazama!
Yani upo sawa kabisa scorpion ndivyo tulivyo mwaya hujakosea ningekua nakuona lara ningekupa mkono sisi ni wavumilivu mno ila siku yakituchosha pana chimbika bila jembe mm ni novI was born on late October!!!!!! I am a scorpion girl!
Kwa jinsi alivyo jeuri huku kwetu MUSOMA ,si juuui.?
ahahahah!mkuu nipe iyo dawa bwana mwenzio yamenikuta uchumba tu balaa nafikiria iyo ndoa sijui itakuwaje
Hahahaaaaaaaaa! Pole mwaya, nakukabidhi mikoba uniwakilishe ofisini kwenu!!! LOL!
Hata ofisini kwetu Watu Wanamponda Kichizi Lara 1, Full kumpaka kama wanamjua! Hadi wadada nao wanapaka mbayaaa! hadi mimi napondaga nao ili wasinistukie!!!!!! Hahahaaaa! Basi utasikia Lara 1 keshapost nyie, kalianzishaaaa!!!!!! Watu ririrrrrrrrrrrrrr kwenye PC mi nawacheki tu! Wangejuaaaa! Lara 1 niko hapo hapo!
Hahahaaaaaaaaaa!!!!!! Kwa taarifa yako nishataka kutolewa mahai mara 2 na watu 2 tofauti nikagoma! Bado umri unaniruhusu plus hao wanaume bora nilivowagomea manake mbona ningeumbukaaaa!
Kuliko niolewe niwe worse off kimaisha heri nibaki single ni keep my options open! USIFANYE MCHEZO NA KUMKABIDHI MTU MAISHA YAKO!!!!!!!!!!!! Sio kizembe kizembe hivi hivi! Maybe nikifika ma 30 au 40 hukooo labda perspective yangu ya kuona mambo itabadilika!
Early 20s zangu, best years of my life nikaspoil kwa mtu!!!!!!!! Thubutuuuuuuuuuuuuu!!!! I AM KEEPING IT REAL!!!!!!!!!!
Hongera sana hapo kwenye red. Sasa hao wanaume waliotaka kukutolea mahari walikuwa wana ku-onja-onja simultaneously au walitaka kukutolea mahari bila kuonja? Nataka tu kufahamu kuwa DSM ya leo bado wapo wanaume wanaotoa mahari kabla ya kugegeda.
Ni lini hiyo nije, hata mimi nina hamu ya kukuona Lara 1......nitamtoroka wife nimdanganye naenda msibani.....nipe tarehe mapema niuwe mtu siku mbili kabla...:becky:Njoo kwenye WHITE PARTY ya Gfsonwin NITAKUWEPO TELEEEEEE! In full white!!!!!!! Toa 20,000/= KEBBYS PALE acha ubahili wako wa kutaka picha!!!!!
na wananifata sio utani aisee, mpk wengine wanasema ntazeeka nikiwa single kwa misimamo ninayoisimamia mwanamke. unajua nimegundua nini kingine Lara 1 wengine wanataka kutest waone unajivunia nini na kipi kinakupa confidence, wananikomaje hapo sasaaaaaaaa!!!!!!!!!!! yani naenjoije kuwaenjoy mieee..... raha sana mdada ukijiamini na kujikubaliHahahahaaaaaaaaaa!!!!! We ishi utakavyo usiishi watu wategemeavyo!!!!!!!!!
Nauhakika waanume wengi sanaa watakuwa wanakufata bishaaaaaaaaa?????
Wanaume wanapenda challange hao na kuprove makubwa na magumu kwao vitu vidogoooo!
The more you make them feel stupid the more they want you!!!!!!!! Ili kuweka heshima!
Salaam wadau,
Sio siri kama mwanaume unajikuta unataka kuoa halafu unakutana na mwanamke kama Lara1 ili uishi nae muda mrefu lazima ukubali kuwa mume ----- tu.Huyu dada ni mtata aisee ni mwenye misimamo isiyoyumba, kwa sisi wanaume wa kiafrika tuliozoea mfumo dume kidogo kwa wanawake wa type iyo ni kaazi kweli kweli.
ona huyu naye sijui ndo ameanzisha mada gani humu ndani. kama huna cha kuandika tulia kimya.
Huna lolote kilaza wewe,kilichokuwasha mpaka ukaisoma ni nini?poteaona huyu naye sijui ndo ameanzisha mada gani humu ndani. kama huna cha kuandika tulia kimya.
na wewe kibendera fuata upepo kaa kimya.Kuna keng.. humu Jf mnajiona mpo juu sana.Pambav..Mwanamalundi
Kweli umeamua kurudisha heshima ya Jf..big up