Watu kama nyie watamu sana kwenye kugongomeka
Huo mtizamo wako tu wa mambo!!!!!!!! Hauniongezei chochote wala kupunguza chochote!!!!!! Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji!
Matendo Mkuu lara 1Kumbe hilo unalijua sasa shutuma tupu ulizorushia wanawake wa aina yangu ulitumia basis ipi kufika conclusion?
Si uliniuliza ya hao wengine wa aina yako? Wewe nitayajua ukinitafutaMatendo yangu umeyajuaje wakati mimi hunijui!!!!!!??????
Matendo yangu umeyajuaje wakati mimi hunijui!!!!!!??????
topic hapa ni kwamba wanawake wenye vitabia kama lara1 ili uweze kuishi nao muda mrefu lazima uwe bweg..Discuss
ahahahahah..i like it.Ingawa sijui tabia haswa za lara 1 zaidi ya kusoma threads zake na baadhi ya posts, sidhani kama kuna lolote jipya ambalo anafanya au kafanya ambalo wanawake waliomtangulia hawajawahi kufanya....Kuna wanaume wa kaliba yake au kaliba ya character anayoipotray hapa jamvini.
Simba jike pamoja na mbwembwe zote zile lakini bado anapandwa na dume na ana familia, there is power in our magic stick na power hiyo humtuliza kila mwanamwali.
Hakuna ujanja wa ndege mtukutu unaozidi mtego wa tundu bovu
Hahahaaaaaaaaaa!!!!!! Kwa taarifa yako nishataka kutolewa mahai mara 2 na watu 2 tofauti nikagoma! Bado umri unaniruhusu plus hao wanaume bora nilivowagomea manake mbona ningeumbukaaaa!
Kuliko niolewe niwe worse off kimaisha heri nibaki single ni keep my options open! USIFANYE MCHEZO NA KUMKABIDHI MTU MAISHA YAKO!!!!!!!!!!!! Sio kizembe kizembe hivi hivi! Maybe nikifika ma 30 au 40 hukooo labda perspective yangu ya kuona mambo itabadilika!
Early 20s zangu, best years of my life nikaspoil kwa mtu!!!!!!!! Thubutuuuuuuuuuuuuu!!!! I AM KEEPING IT REAL!!!!!!!!!!
Hahahaaaaaa! Mi sio mkorofi ila sio mnyonge au nyonde nyonde!!!!!!!!! Tunaenda kwa haki na usawa tukiongozwa na Logic na grounds za msingi!!!!!!!
Ukinifanyia upuuzi you will see my true colours! My strength is in War na my weakness is in Peace!!!!!!!!! Ukinifanyia wema uliopitiliza unanikosehsa amani sanaaa, nakuwa najistukia sana, najiona mdogooo!
Huyu dada nahisi ana over 25yrs,humu humu aliwaki kusema enzi zile yuko chuo anakwenda Morogoro ku spend akataja na maeneo kadhaa,tena ilikuwa ni thread ya mtu anatafuta sehemu nzuri ya kupumzika Moro,yeye akachangia so sio yuko early 20s.Pia huyu dada bado hajanasa kwa mwanaume anaemtaka then baadae anakuja gundua ahhh sie,chezea wakaka "SMART" wewe.....Hakuna siku atakayo kuudhi...we acha tu.....ok LARA 1 Itabidi nikutafute pia,private.
unanipa raha sana. Una misimamo kama yangu mpk men wengi wananiona pasua kichwa. Nkisoma comments zako nafurahi sana.
Mwenzenu ofisini wanajua mimi ndo lara1 kisa jina langu lina herufi LARA halafu tupo wawili na mimi niliajiriwa first so mimi huwa 1 na huyo mwenzangu 2....