twende kazi
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,520
- 461
- Thread starter
-
- #21
topic hapa ni kwamba wanawake wenye vitabia kama lara1 ili uweze kuishi nao muda mrefu lazima uwe bweg..Discusshapa topic ni nini, discussion about lara 1 au ???
mmmh..!maelezo yako yananitisha dizaini unang'ata huku unapuliza,we mwanamke hataree..sio kila kitu cha kujadili we mwanamke vyengine kwa wadhifa wako majibu ni YES OR NO.Wala mimi siwezi kumfanya Mume wangu ----- asilani, Nimejifunda mwenyewe nimefundika! I understand the psychology of Men! Na ili udumu na mwanaume kama umeamua (Unless umemchoka ofcourse) lazima ujue how to play with his psychology! Baaaaaaaaaass!
Afu mimi kama vitu logical na vya maendeleo siwezi kubisha au kuleta ushindani usio na tija! So mume wangu mpaka nimekubali anioe kazi itakuwepo hapo! Na lazima awe anajielewa!
I was born on late October!!!!!! I am a scorpion girl!
Unajua ni wanaume wachache wanaovutiwa na mavuvuzel..kama lara hata kama wanajenga hoja vizuri ila tatizo lao ni kutaka kujua kila kitu.Ndege wanaofanana wanaruka pamoja. Wewe unaweza ukamuona hivyo ila wapo wanaume wanaopenda sana wanawake wenye misimamo kama yake. Sio mwanamke kila anachoambiwa yeye ni YES SIR!
ahahahah!mkuu nipe iyo dawa bwana mwenzio yamenikuta uchumba tu balaa nafikiria iyo ndoa sijui itakuwajeeehee...wanawake type ya Lara1 ndo napenda sana maana nina dawa ya kumfanya awe mnyongeeee kwangu! 24/7 she will be longing to be so closer 2me! Lara1 are you there?.
:cheer2::cheer2::cheer2:
lara 1 anaigiza humu tu,akikutana na jamaa yake ni mnyonge kupitiliza.Huwezi kuamini ukimwona...mnyongeeeee
Tunawajua wanawake wa aina ya lara 1,wako wengi tu kitaa. Na ukiona muongeaji sana hapa,ni mpole sana akiwa na mwenzake aka mbabe wake.Halafu,wanawake waongeaji sana,hawana viwango juu ya 6x6/6x5Mbona mkuu umeweka ukweli wote nje? kweli kabisa, umejuaje? ukweli mtupu huu!
Hahahahaaaaaaaa! Kuolewa unaona dili mwenyewe? Wachache sana ndo wana win kwa kuolewa wengine wanabaki kuregret na kugawa urojo nje! Tuko nao job wake za waafrika! Kugawa gawa kwa kila bachelor hadi unajiuliza aliolewa ushahidi ama? Na wanaume nyie mliooa mnatuwindaje sasa eti tuwachune?????? Si makubwa haya? Hela peleka kwa mkeo baba!!!!!!!
Thread kibao mme wangu hanitunzi, mme wangu kitombi, mme kamla beki tatu, mme nyumba ndogo!!!!!!!!! Kuolewa ilikuwa dili zamani!!!!!!!!!
Tunawajua wanawake wa aina ya lara 1,wako wengi tu kitaa. Na ukiona muongeaji sana hapa,ni mpole sana akiwa na mwenzake aka mbabe wake.Halafu,wanawake waongeaji sana,hawana viwango juu ya 6x6/6x5
Toka lini kunga aka somo yupo kwenye ndoa?
mmmh..!maelezo yako yananitisha dizaini unang'ata huku unapuliza,we mwanamke hataree..sio kila kitu cha kujadili we mwanamke vyengine kwa wadhifa wako majibu ni YES OR NO.
He huku kwetu kungwi lazima awe na miaka hata 20 ya ndoa!!!!!
Basi naamini wewe ni debe tupu
He huku kwetu kungwi lazima awe na miaka hata 20 ya ndoa!!!!!
mmmmh..mimi wewe sikuwezi nakuachia petro maselewaWeweweeeeeeee! Huwezi kunipangia cha kujibu! Najibu nachojisikia!!!!!
Unauliza jambo linalohitaji matendo halisi.Nitafute halafu tutarudi hapa na mabandiko ya juu ya kilichotokea.Nadhani unanielewa lara 1?Embu tuanze wewe una viwango gani kwanza hukp 6*6 manake naona una bwabwaja bila vitendo!
Hahahahaaaaaaaaaaaa! We amini uaminicho neno lako sio sheria wala wewe sio nabiii iwe neno lako ni utabiri lazima utimie!