twende kazi
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,520
- 461
Salaam wadau,
Sio siri kama mwanaume unajikuta unataka kuoa halafu unakutana na mwanamke kama Lara1 ili uishi nae muda mrefu lazima ukubali kuwa mume ----- tu.Huyu dada ni mtata aisee ni mwenye misimamo isiyoyumba, kwa sisi wanaume wa kiafrika tuliozoea mfumo dume kidogo kwa wanawake wa type iyo ni kaazi kweli kweli.
Kwenye vidoti vyekundu kunapaswa kuwa na neno ----- sijui kwanini mods wamelitoa yaani wameua maana kabisa ya thread yangu.Kama vipi wakuu ifuteni kabisa mnaboa mamods.Salaam wadau,
Sio siri kama mwanaume unajikuta unataka kuoa halafu unakutana na mwanamke kama Lara1 ili uishi nae muda mrefu lazima ukubali kuwa mume ----- tu.Huyu dada ni mtata aisee ni mwenye misimamo isiyoyumba, kwa sisi wanaume wa kiafrika tuliozoea mfumo dume kidogo kwa wanawake wa type iyo ni kaazi kweli kweli.
Sasa ngoja nikwambie mwanamke type hiyo ndo safi, anakuwa na sababu za msingi anapofanya jambo kitu ambacho hufungua mjadala baina yenu.Salaam wadau,
Sio siri kama mwanaume unajikuta unataka kuoa halafu unakutana na mwanamke kama Lara1 ili uishi nae muda mrefu lazima ukubali kuwa mume ----- tu.Huyu dada ni mtata aisee ni mwenye misimamo isiyoyumba, kwa sisi wanaume wa kiafrika tuliozoea mfumo dume kidogo kwa wanawake wa type iyo ni kaazi kweli kweli.
Salaam wadau,
Sio siri kama mwanaume unajikuta unataka kuoa halafu unakutana na mwanamke kama Lara1 ili uishi nae muda mrefu lazima ukubali kuwa mume ----- tu.Huyu dada ni mtata aisee ni mwenye misimamo isiyoyumba, kwa sisi wanaume wa kiafrika tuliozoea mfumo dume kidogo kwa wanawake wa type iyo ni kaazi kweli kweli.
You mean @lara1? She is good critical figure. She is good wife. May be she was born on September
lara 1 anaigiza humu tu,akikutana na jamaa yake ni mnyonge kupitiliza.Huwezi kuamini ukimwona...mnyongeeeee
Hahahaaaaaa! I CANT BELIEVE UMENIANZISHIA THREAD!!!!!!!!!! You are Bananas!!!!!!!!!
Anyway mimi sio matata wala nini sema sipendi Kutokuwa na Msimamo, au Kuonewa! Mimi si Mchokozi asilani ila ukinianza lazima ni set example ili wengine wasinichukulie poa! Ukiniona Mpoleeee! Mkimya sina neno na mtu! NEBEEP SASA ndo utakaponipata KIDIGITALIII!!!!!!!!
Otherwise hata humu ndani hata siku moja huwezi kuta nimeingia thread ya mtu na kuanza kusema mbovu au kuponda! NEVERRRRRRRRRR!!!!!!! Kama vimeniboa natoka kimyakimya! I respect freedom of speech ya kila mtu! Na narespect conglomerate ya kila mtu!!!!!!!!
Na kwenye suala la wanaume nikiwa na uhusiano na mtu lazima awe najielewa! Sina roho ya kuvumilia upuuzi, kusamehe ujinga au kubembeleza bembeleza ufyorooo! Kama hatusomani baaaaaaaaaaaass! Kuna watu zaidi ya Billion duniani stress za nini? Plus Napenda free riding sanaaa! Ofcourse sometimes inakuwa kukosa ustahimilivu n all that ila bana IT JUST ISNT IN ME!!!!!!!! Huwezi nikuta Victm wa mtu katuuuu!!!!!!!!!
Pia sipendi mtu aniogope au awe mtumwa wangu, Nooooooooo! Hapa ni freedom tu! Afanye atakacho ila awe na grounds zenye logic! Na awe na msimamo na anajiongoza manake mimi naweza kujiongoza mwenyewe tu! Akinitegemea Jahazi litazama!
Si nilisema mimi?Hahahaaaaaa! Mi sio mkorofi ila sio mnyonge au nyonde nyonde!!!!!!!!! Tunaenda kwa haki na usawa tukiongozwa na Logic na grounds za msingi!!!!!!!
Ukinifanyia upuuzi you will see my true colours! My strength is in War na my weakness is in Peace!!!!!!!!! Ukinifanyia wema uliopitiliza unanikosehsa amani sanaaa, nakuwa najistukia sana, najiona mdogooo!
Bweg..!mbele ya neno mume
Si nilisema mimi?
Wanawake kama hawa kuongelewa ngumu huishia kumegwa tu
Hatuwezi pata picha ya Lara 1 jamani?
Wanawake kama hawa kuongelewa ngumu huishia kumegwa tu