Ni mkanyagano tu. Nalog offMajamaa wawili walikuwa walikutana kwenye seat moja ndani ya basi,
jamaa mmoja akamwuliza mwenzake,mbona unawaza sana ndugu yangu,
jamaa akajibu nina matatizo ya kifamilia,mi na mke kila siku ugomvi.
jamaa akamjibu huna matatizo ya kifamilia kama mimi,
Mi nilimwoa mjane ambaye alikuwa na binti mwenye miaka 19,halafu baba yangu
akamwoa huyo binti na kuzaa naye, kwahiyo watoto wa hao binti yangu ambaye ameolewa na baba yangu
wananita kama babu halafu ndugu upande wa baba yangu wananita baba mkwe,halafu watoto wa binti huyo wanajua baba yangu ndo kijana wangu.je una matatizo kama mimi kweli?
Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo alifariki dunia kwa ugonjwa wa moyo.Wananchi,ndugu,jamaa,marafiki na majirani waliamua kumuenzi dokta kwa kumchongea jeneza zuuuri lenye shape ya moyo.Wakati maelfu ya watu wanapita kutoa heshma za mwisho na kuaga mwili wa marehemu,ghafla wakasikia mtu anacheka sana tena kwa sauti ya juu.Watu walidadisi wakagundua anayecheka alikua akifanya kazi na marehemu.
Ndipo Padri akaenda kumuuliza
PADRI:Ndugu mbona unacheka sana na unajua hapa ni msibani?Au umefurahi mwenzako kufa?
JAMAA:Hahahahahaha nisameheni jamani.Mimi najiuliza siku nikifa jeneza langu litakuaje,maana mim ni daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake..hahaha.
padri alienda kuchekea stoo.
Majamaa wawili walikuwa walikutana kwenye seat moja ndani ya basi,

LOL!mi am DWL!Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo alifariki dunia kwa ugonjwa wa moyo.Wananchi,ndugu,jamaa,marafiki na majirani waliamua kumuenzi dokta kwa kumchongea jeneza zuuuri lenye shape ya moyo.Wakati maelfu ya watu wanapita kutoa heshma za mwisho na kuaga mwili wa marehemu,ghafla wakasikia mtu anacheka sana tena kwa sauti ya juu.Watu walidadisi wakagundua anayecheka alikua akifanya kazi na marehemu.