Lazima ucheze hizi pc Games

Lazima ucheze hizi pc Games

real man play ps4 ganes..🙂🙂🙂🙂🙂🙂 am kidding thanks a lot mtoa mada this means a lot
 
Wakuu nahitaji game la Euro truck simulator 2.kwa yeyote alilo nalo ani pm.niko mala
 
troublemaker nakushukuru sana kwa Game hili maana ninalo na niliuziwa 6,000/
nilicheza mpaka hatua ya 21 naona km sio Master ni Professional basi likaanza kukwama mpaka Computer inazima na ukiwasha unakuta limefuta mchezo wote inabidi uanze mwanzo
Nimewafuata walioniuziahili Game (EUROTRACK Simulator 2) kwa kuinstall kwenye PC yangu wakaniambia Procesor ndogo mara Ram ndogo nikaona naibiwa, basi nacheza mwisho level 10 tu
Computer ni DELL Pentium (R) Dual Core E 5300
Processor 2.60 GHz
Memory 2.0 GB
na Game imeingia 1.5GB
SASA Mkuu nimeona niiingize na hii ya kwako ili nipime
je zote mbili zinaweza kuwepo au niDelete la zamani?
 
Mkuu me ninalo ila ni old vision.me nataka new vision.sielewi nitalipata vipi
 
Natafuta need for speed mwenye nalo anisaidie. Kama yupo dar nipo tayar kumfata sehem aliyo hii itasaidia kufahamiana zaid
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom